Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,823 Reaction score 233,255 Mar 16, 2024 #379,861 Tresor Mandala said: Angalia usigongwe na Nyoka Click to expand... Ni sehemu salama kabisa
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,862 Tresor Mandala said: Hahahahahaha...mzee unanidanganya ni master wa hivi vitu nilisomea Algeria huko.. Click to expand... Mmefanya nirudi chimbo nianze kuwaletea Picha za enzi za Uhuru tu, inaonekana picha za 71 hamzitaki kabisa 😜
Tresor Mandala said: Hahahahahaha...mzee unanidanganya ni master wa hivi vitu nilisomea Algeria huko.. Click to expand... Mmefanya nirudi chimbo nianze kuwaletea Picha za enzi za Uhuru tu, inaonekana picha za 71 hamzitaki kabisa 😜
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Mar 16, 2024 #379,863 Grahams said: Mmefanya nirudi chimbo nianze kuwaletea Picha za enzi za Uhuru tu, inaonekana picha za 71 hamzitaki kabisa 😜 Click to expand... Hahahahahaha..labda hizo kdg
Grahams said: Mmefanya nirudi chimbo nianze kuwaletea Picha za enzi za Uhuru tu, inaonekana picha za 71 hamzitaki kabisa 😜 Click to expand... Hahahahahaha..labda hizo kdg
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,864 Tresor Mandala said: Hahahahahahaha...Babu limempendeza lkn sio mbaya ..JF tuko kufurahi zaidi.. Click to expand... Huyo Mkuu ana bahati siye tuliyozaliwa enzi za Ukoloni hatukuwa tunapewa Vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningemletea aone vile tumekula chumvi nyingi 🤗
Tresor Mandala said: Hahahahahahaha...Babu limempendeza lkn sio mbaya ..JF tuko kufurahi zaidi.. Click to expand... Huyo Mkuu ana bahati siye tuliyozaliwa enzi za Ukoloni hatukuwa tunapewa Vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningemletea aone vile tumekula chumvi nyingi 🤗
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,865 Tresor Mandala said: Hahahahahaha..labda hizo kdg Click to expand... Najua za hivyo hataweza kubisha as ataniona niko na Wakereketwa wenzangu wa iliyokuwa TANU miaka ile 😜
Tresor Mandala said: Hahahahahaha..labda hizo kdg Click to expand... Najua za hivyo hataweza kubisha as ataniona niko na Wakereketwa wenzangu wa iliyokuwa TANU miaka ile 😜
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Mar 16, 2024 #379,866 Grahams said: Najua za hivyo hataweza kubisha as ataniona niko na Wakereketwa wenzangu wa iliyokuwa TANU miaka ile 😜 Click to expand... Hahahahaha za hivyo hata mie naeza kuwepo ujue
Grahams said: Najua za hivyo hataweza kubisha as ataniona niko na Wakereketwa wenzangu wa iliyokuwa TANU miaka ile 😜 Click to expand... Hahahahaha za hivyo hata mie naeza kuwepo ujue
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Mar 16, 2024 #379,867 Grahams said: Huyo Mkuu ana bahati siye tuliyozaliwa enzi za Ukoloni hatukuwa tunapewa Vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningemletea aone vile tumekula chumvi nyingi 🤗 Click to expand... Hahahahaha..wala NIDA haujapata bado
Grahams said: Huyo Mkuu ana bahati siye tuliyozaliwa enzi za Ukoloni hatukuwa tunapewa Vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningemletea aone vile tumekula chumvi nyingi 🤗 Click to expand... Hahahahaha..wala NIDA haujapata bado
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,868 Kiungopunda said: Anawaokotaga kweli humu. Naonaga babu, babu. Nikajua ni mtu mzima, kumbe dogo la juzi tu. Click to expand... Mkuu una bahati tuliozaliwa zamani hatuna vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningekuletea hapa uone vile tumekula Chumvi nyingi 😜 Anyways, tuendelee ku-selfika Mkuu 🤗
Kiungopunda said: Anawaokotaga kweli humu. Naonaga babu, babu. Nikajua ni mtu mzima, kumbe dogo la juzi tu. Click to expand... Mkuu una bahati tuliozaliwa zamani hatuna vyeti vya Kuzaliwa, vinginevyo ningekuletea hapa uone vile tumekula Chumvi nyingi 😜 Anyways, tuendelee ku-selfika Mkuu 🤗
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,869 Tresor Mandala said: Hahahahaha za hivyo hata mie naeza kuwepo ujue Click to expand... Hahaha...............itakuwa hatari hiyo 😅
Tresor Mandala said: Hahahahaha za hivyo hata mie naeza kuwepo ujue Click to expand... Hahaha...............itakuwa hatari hiyo 😅
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,870 Tresor Mandala said: Hahahahaha..wala NIDA haujapata bado Click to expand... NIDA ndiyo wapo kwenye mpango wa kutumia Carbon 14 kuweza kutambua umri wangu.......maana Wazee wengi huwa tunasahau Mwaka tuliozaliwa 🤗
Tresor Mandala said: Hahahahaha..wala NIDA haujapata bado Click to expand... NIDA ndiyo wapo kwenye mpango wa kutumia Carbon 14 kuweza kutambua umri wangu.......maana Wazee wengi huwa tunasahau Mwaka tuliozaliwa 🤗
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 361,154 Reaction score 831,823 Mar 16, 2024 Thread starter #379,871
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Mar 16, 2024 #379,872 Grahams said: NIDA ndiyo wapo kwenye mpango wa kutumia Carbon 14 kuweza kutambua umri wangu.......maana Wazee wengi huwa tunasahau Mwaka tuliozaliwa 🤗 Click to expand... Hahahahaha..wafanye haraka wawapatie NIDA na nyie
Grahams said: NIDA ndiyo wapo kwenye mpango wa kutumia Carbon 14 kuweza kutambua umri wangu.......maana Wazee wengi huwa tunasahau Mwaka tuliozaliwa 🤗 Click to expand... Hahahahaha..wafanye haraka wawapatie NIDA na nyie
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,457 Mar 16, 2024 #379,873 Mshana Jr said: View attachment 2936098 Click to expand... Huna numero yake telephone?
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Mar 16, 2024 #379,874 Grahams said: NIDA ndiyo wapo kwenye mpango wa kutumia Carbon 14 kuweza kutambua umri wangu.......maana Wazee wengi huwa tunasahau Mwaka tuliozaliwa 🤗 Click to expand... Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣 Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣
Grahams said: NIDA ndiyo wapo kwenye mpango wa kutumia Carbon 14 kuweza kutambua umri wangu.......maana Wazee wengi huwa tunasahau Mwaka tuliozaliwa 🤗 Click to expand... Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣 Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,875 Tresor Mandala said: Hahahahaha..wafanye haraka wawapatie NIDA na nyie Click to expand... Ni maombi yangu Kila Siku na sisi Wazee watukumbuke 🤗
Tresor Mandala said: Hahahahaha..wafanye haraka wawapatie NIDA na nyie Click to expand... Ni maombi yangu Kila Siku na sisi Wazee watukumbuke 🤗
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,876 ERoni said: Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣 Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣 Click to expand... 😅😅 Vijana wameona picha ya lastborn wangu wamedhani ni Mimi Wazee tumekula chumvi nyingi ujue 😜
ERoni said: Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣 Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣 Click to expand... 😅😅 Vijana wameona picha ya lastborn wangu wamedhani ni Mimi Wazee tumekula chumvi nyingi ujue 😜
100 others JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 8,791 Reaction score 30,990 Mar 16, 2024 #379,877 ERoni said: Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣 Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣 Click to expand... Itakuwa ni mzee kweli sema utakuta pombe hanywi na anazingatia taratibu zote za mlo kamili.
ERoni said: Nikajua ni mzee mwenzangu kweli, kumbe ni katoto kadogo hata 40 hakana🤣🤣 Mkuu, Tresor Mandala, huyu dogo anatuchukuliaje?🤣 Click to expand... Itakuwa ni mzee kweli sema utakuta pombe hanywi na anazingatia taratibu zote za mlo kamili.
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Mar 16, 2024 #379,878 100 others said: Itakuwa ni mzee kweli sema utakuta pombe hanywi na anazingatia taratibu zote za mlo kamili. Click to expand... Hakuna mzee hapo mkuu, huoni picha zake kidevu kibichi ndio kinaanza kuota ndevu.🤣
100 others said: Itakuwa ni mzee kweli sema utakuta pombe hanywi na anazingatia taratibu zote za mlo kamili. Click to expand... Hakuna mzee hapo mkuu, huoni picha zake kidevu kibichi ndio kinaanza kuota ndevu.🤣
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Mar 16, 2024 #379,879 100 others said: Itakuwa ni mzee kweli sema utakuta pombe hanywi na anazingatia taratibu zote za mlo kamili. Click to expand... 🤝
100 others said: Itakuwa ni mzee kweli sema utakuta pombe hanywi na anazingatia taratibu zote za mlo kamili. Click to expand... 🤝
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,602 Reaction score 119,755 Mar 16, 2024 #379,880 Grahams said: 😅😅 Vijana wameona picha ya lastborn wangu wamedhani ni Mimi Wazee tumekula chumvi nyingi ujue 😜 Click to expand... Aaah wapi, sekondari tulifundiahwa kusoma picha na kutoa tafsiri mkuu. Usituharibie uzee wetu mkuu. 🤣🤣🤣
Grahams said: 😅😅 Vijana wameona picha ya lastborn wangu wamedhani ni Mimi Wazee tumekula chumvi nyingi ujue 😜 Click to expand... Aaah wapi, sekondari tulifundiahwa kusoma picha na kutoa tafsiri mkuu. Usituharibie uzee wetu mkuu. 🤣🤣🤣