Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli tupu. Huo mlo michosho tupu. Hapa nilipo ndiyo nimemaliza kupiga kiugali na kibulanga. Sabato itakwenda vizuri tu!
Hahaha..........Mwaka Jana nilipoenda Kijijini walinishangaa eti nimeshindwa kumaliza Ugali robo peke yangu, wanasema hivi hata nguvu za kuzalisha Wanawake utakuwa nazo kweli kama kaugali haka kanakushinda kumaliza Yego?

Nadhani mazingira yanachangia sana kubadiri mwenendo wa Kula

Kuishi Mjini kumefanya nipunguze kula kula sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…