Wazee wa bahasha
Thubutuuuu!! Yanga Tupo gadoooo uweeee 💪💪💪💚💚💛💛Wazee wa bahasha
Mmenunua mechi hiyo maana Haier ndio mdhamini wa wenu na ihefuThubutuuuu!! Yanga Tupo gadoooo uweeee 💪💪💪💚💚💛💛
Tulieeeniiii tulieeeniiii wanafungwa Ihefu mnahaha 5imba 🤠🤠🤠Mmenunua mechi hiyo maana Haier ndio mdhamini wa wenu na ihefu
Shida ni bahasha za kakiTulieeeniiii tulieeeniiii wanafungwa Ihefu mnahaha 5imba 🤠🤠🤠
Ipo wapi? Ujue utachapwa 😂
Mzee kijana naona umemenya ndinga mpya, hapo na hiyo suti najua ulikuwa unaenda kwenye kikao cha tenda.