Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Haya selfika sasa uzi hautaki story nyingioky asante kwa ufafanuzi
Haya selfika sasa uzi hautaki story nyingioky asante kwa ufafanuzi
Vipi Mkuu huamini 😅1947 ?
bado ni mchana sana labda juwa lizameHaya selfika sasa uzi hautaki story nyingi
kwa vile sote ni wa mwaka wa 47 siamini😅Vipi Mkuu huamini 😅
Siasa kama siasa nyingine!!bado ni mchana sana labda juwa lizame
Hahaha...........tuwasihi Vijana kuendelea kuwa na imani na Wazee 😜kwa vile sote ni wa mwaka wa 47 siamini😅
Mbona nyanya hamna au una vidonda vya tumbo?
Huzioni jamniMbona nyanya hamna au una vidonda vya tumbo?
Naona kuku tu hapo 😂😁Huzioni jamni
😂😂Naona kuku tu hapo 😂😁
Kesho narudi nataka uwe mgeni wangu hapo nashera hotel.Mi sijambo jirani.
Kwani hujarudi kutoka Mwanza maana kila nikichungulia dirishani sikuoni
We leta samaki acha maneno mbofu mbofuKesho narudi nataka uwe mgeni wangu hapo nashera hotel.
😂 Sasa samaki si nakununulia leo ila nikurudi ntakuwa nimechoka hivyo nataka nipate masaj kidogo hapo nashera. Cutakuja nawewe ufanyiwe masaji?We leta samaki acha maneno mbofu mbofu