Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mke mwenza [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Mume wetu anaweweseka uko alipo, sio kwa u hair huo na karangi ka dubai awwwww [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Naselfika ww njoo tumrushe roho mume wetu hapa.!!
Hivi yule mwanaume yuko hai kweli mwenza?

Simuoni
 
😂😂😂😂😂 wee,usiniambie?! ....,hii ilikuwa kimyakimya wewe umekuja kuharibu sasa🙄 ndugu wa cocastic wataniua kwa maneno mwenzio jamani😒☹️
Jiandae kwa mpambano tuu
Maana utavamiwa huko kama nyuki🤣🤣🤣

Tuselfike kwanza
 

Attachments

  • 20240309_145804.jpg
    20240309_145804.jpg
    649.8 KB · Views: 13
Back
Top Bottom