Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,324
Hahaha............hivi huwa yapo kweli?😂 Angalia usije ukaondoka na jini huko we Mzee kijana.
Mara nyingi huwa natoka kabla Jua halijazama
Yasije kunikimbiza yakanikamata, na hivi Sina nguvu za kukimbia 🤗