Watu wanatakiwa wajifunze kuheshimiana.Unapitia magumu mengi wee acha tu
sawa na mimi nakupenda piaMama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sanaππ½ππ½ππ½
Hello πππ€©πMama wa watoto wawili nimekuja kuwasalimu wapendwa wangu....Upendo wa kweli ushinda ubaya......tujifunze kunyamaza hata katika magumu.Kumpa ushindi mtu anayetaka kushindana ni ushindi pia.Mwenyezi Mungu awabariki sanaππ½ππ½ππ½
Hatimaye tumeona selfie ya ndugu mjumbe
Hahahahaha...hebu selfika kdgUzi upo Kama umeme wa tanesco
.
Mjumbe njaa ilikuwa inauma nimekaa nje nikisubiri ugali wa mama πHatimaye tumeona selfie ya ndugu mjumbe
Oyaaaaa mazeee sio poa guu sio la Depal hili πππ₯π₯π₯π₯