Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,210
ππππ Ukashindwa uwe upande upi??Mi mwenyewe nimevaa mpaka miwani
Nilihisi nimekosea kuzisoma idz zenu.
Shemeji tunaongea lugha moja siasani kitambo sana kabla hata haujaja selfikaππππ Ila unavyompanga Kantry jamani sijui unataka nini Anna??
ππWe si ume kalia mipombeπ, kula hutakiπ€£π€£
Uko vyedi mndeleTukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Rangi ya mtume.Tukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Tanga zinatoka mali safi,Mndele kupendeza kenga mbwani .Tukiendelea na uzi [emoji23]View attachment 2919317
Uko vyedi mndele
Rangi ya mtume.
Tanga zinatoka mali safi,Mndele kupendeza kenga mbwani .
πππππ Ww leo umekula nini??Huna hiyo nguvu
Malaika na majeshi yote ya mbinguni yapo upande wa mheshimiwa.
Warumi?Nimekumbuka sio chale ni mikoba
Hujui kauli mbiu ya jf? πWewe tena ππππ
Ss hizo zinahusihana vipi hapa JF
Ngoja kwanza[emoji23]Warumi?
Hizi sifa tunazo wawili tuHuyo ni role model wangu aisee