Ko wewe si chinga basiii vigezo vimepungua mimi napenda sana chinga halafu awe kama Harmo😁Mimi mrefu, med na mwembamba bhana🤣
Toka atoe oda na kuconfirm huwa sina mashaka naye hata siku mojaHivi bado unamuamini huyu?? 😂😂😂😂
Ila Kantry unayaweza?? 😂😂😂😂Anatoa kweli na alipanga, wiki iliyopita niliona saa ya hublot huko insta inauzwa 290k, nikamuonyesha. Fasta tu kesho yake mzigo nikaletewa
View attachment 2919308
Mi mrefu, med,( nerd), na mwembamba.Ko wewe si chinga basiii vigezo vimepungua mimi napenda sana chinga halafu awe kama Harmo😁
😁🤣Una jiita mu italy, halafu hujui shawarma🤔🙄🤣🤣.
Anna muache udugu wangu puliiiizz 😂😂😂Kivumbi kinakuja
Udugu anatuacha kwenye itel
We si ume kalia mipombe😁, kula hutaki🤣🤣
😂😂😂😂 Haya mi yangu machoToka atoe oda na kuconfirm huwa sina mashaka naye hata siku moja
Timu JPM huyu hanaga longolongo.
Kutoka hapo labda mnichangie familia nzima na mniue[emoji23]Ila Kantry unayaweza?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri apatikane wa kukuibia km hujaja na nyuzi za kujiliza
Waliomnanga udugu Ako na itel yake ya rubberband sijui wataweka wapi sura zao😂Anna muache udugu wangu puliiiizz 😂😂😂
Jichanganye nakuona tu 😂😂😂😂Hapa nimeandaa ya kutosha, ndio nayapangq vizuri. Sema nimeona notification ya whatsapp[emoji23], utakua ni mkwara huo
Nuzulati ni mrembo Sana, sijui Nilikuwa wapi 🤔.Chingaman masta aka mpishi kaka chinga unafaidi sana ❤️😁🤣
😂😂😂😂 Ww utasababisha balaa nishakuona, wakitokea wenzio wapenda zawadi umekwishaKutoka hapo labda mnichangie familia nzima na mniue[emoji23]
Hapa nimeandaa ya kutosha, ndio nayapangq vizuri. Sema nimeona notification ya whatsapp[emoji23], utakua ni mkwara huo
😂😂😂😂 Acha basi AnnaWaliomnanga udugu Ako na itel yake ya rubberband sijui wataweka wapi sura zao😂
Aikooooooooo. Mtakatifu anne inatosha sasa🤣🤣🤣, then you wrecked😢..Unakua kama mafarisayo wanafki 😭😭jamani..au wale Nazis mtu kafwa tayari lakini bado wanachapa maiti. Aikoooo MENTAL CALM🤣Kivumbi kinakuja
Udugu anatuacha kwenye itel
Mi mwenyewe nimevaa mpaka miwaniHajafikisha 😂😂😂
Mi na uduguu yameisha labda km yeye bado ana kinyongo aseme hapa…..
Ila mi nampenda tonnia wangu 😘😘😘
Udugu wangu peke yangu, si umeona leo kila mtu anashangaa sababu wanajua jinsi nilimpenda ukweli 🤠🤠🤠
😂😂😂😂 Ila unavyompanga Kantry jamani sijui unataka nini Anna??Zitume tu
Achana na huyo wa watsap
Apambane na udugu wake,wamalize viporo vyao.
Endelea kupanga documents shemeji.
AiseeeAnatoa kweli na alipanga, wiki iliyopita niliona saa ya hublot huko insta inauzwa 290k, nikamuonyesha. Fasta tu kesho yake mzigo nikaletewa
View attachment 2919308
😁🤣Nuzulati ni mrembo Sana, sijui Nilikuwa wapi 🤔.
👉Hadi nika kutana na paka shume la kihaya🤣😁😁😁