Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnywani mtayamaliza tu inshallah.

Kitoto kizuri weye.
Chino na haki ya kupagawa tu maninah.
Mchape kwanza na umwambie aniombe msamaha πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Lasivyo amtafute wifi yake mwingine mi sitaki teeenaa πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa nishammiss udugu wangu, nna arosto la ubuyu kweli
 
Tena huyu Red velvet isikose
Keki za kitajiri

Udugu ana picha Kali nyingi humu
Ntachagua tu moja Kali zaidi..
Fanya hivyo uduguu Mahondaw bday mwaka huu tunayo nakwambia, shetani kashapita ss hivi sasa ndio tutakuwa na strong friendship 😜
Inakuwa hakuna kunafikiana kila mtu anakaa kwenye nafasi yake πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯° uduguu wangu
 
Alafu bana unajua ile serious kabisa, Lamomy alipanga siku ya birthday ya Antonnia, amzawadie simu iPhone. Serious kabisa

Nikitulia ntatafuta hizi chats nikuletee kama ushahidi wa alichopanga, aliniambia hili kama miezi miwili iliyopita
Heee
Udugu ake anahamia kwenye iphone sasaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Sipati picha maphoto makali yatakayotoka hapo
Sasahivi tu itel inatutetemeshaπŸ”₯
 
Alafu bana unajua ile serious kabisa, Lamomy alipanga siku ya birthday ya Antonnia, amzawadie simu iPhone. Serious kabisa

Nikitulia ntatafuta hizi chats nikuletee kama ushahidi wa alichopanga, aliniambia hili kama miezi miwili iliyopita
Halafu nilitaka kumfanyia km surprise ushaharibu na wewe πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

Uduguu hii ni kweli kabisaa nilipanga nkufanyie bonge la surprise kwa jinsi nilivyokuwa nakukubali basi tu.!!!
Sijui kwann shetani kapita, nilitaka nikupe iphone hii serious kabisaaa ilitoka moyoni.!!
Dah!! Ila shetani mbaya sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ila nitatimiza ahadi uduguu akikubali, halafu mimi nilitaka tuwekane sawa tu wala sijammind.!! Ningemmind ningepandisha mashetani muda huu ningekuwa na ban
 
Mchape kwanza na umwambie aniombe msamaha πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
Lasivyo amtafute wifi yake mwingine mi sitaki teeenaa πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa nishammiss udugu wangu, nna arosto la ubuyu kweli
Ntakaa naye faragha
na udugu utarudi kama zamani usijali.

Uzuri wako nachokupendea huna uadui wa kudumu.

Hauna nyingine tena hapo mchuchu.
 
Ntakaa naye faragha
na udugu utarudi kama zamani usijali.

Uzuri wako nachokupendea huna uadui wa kudumu.

Hauna nyingine tena hapo mchuchu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Mimi sinaga uadui kabisaaa.. haswaaa kwa uduguu wangu, hapa nishammiss mwenyewe πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

Nyingine akija udugu nitaselfika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mama miongozo njoo chino kasema turudishe uduguu na uwifi wetu ole wako ukatae 🀠🀠
Mimi ndio mtu pekee ninyekupenda humu shauri zako…. Njoo bana utupie picha za hipusi donti lai 😊😊
 
Weuweee
Udugu ake iphone anayo hana?πŸ”₯
Macho matatu kalikali ya kikemia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…