Selfika na JF: Snap it. Show it

Itabidi mwezi mzima nianze kuidesign
Iwe standard kama udugu ake Mkemia Mkuu.
Alafu bana unajua ile serious kabisa, Lamomy alipanga siku ya birthday ya Antonnia, amzawadie simu iPhone. Serious kabisa

Nikitulia ntatafuta hizi chats nikuletee kama ushahidi wa alichopanga, aliniambia hili kama miezi miwili iliyopita
 
Hili la mods kutoa onyo ni kweli au 😁🀣 mbona na wao hawaji kuselfika hapa πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…