Ngoja nikupe story, hizi picha bana za huku kumbe kuna muda sio. Kuna member hapa jf aliwahi kumuotea, akamuuliza ww mbona nimekuona mtandao flani. Aliruka kama sio yeye

Intro ya nini?? ππππ
Nipe pesa hizo nianze biashara ya sabuni na mtu wa kwanza kumuuzia uduguu wangu mama miongozo akafulie nguo za jr π