Kaa kwa kutulia ππππBado moja nataman uiweke[emoji23]
Nitampeleka gym[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule ana kisirani angetafuta jambo tu hapo
Sema udugu wangu hana baya
Nakutania banaππππ ninapenda high heels, ss hivi ndio nimepumzika navaa raba
Niko Njombe mahi ππππMke wa tajiri naye ni tajiri tu
Mazingira yanaonekanaπ
Tajiri anatusanifu humu kuwa yupo anakinga maji ya mvua makambako,Kumbe anaishi uzunguni sijui Masaki huko..
Makambako hakuna sehemu ya hivyo.
πππ najua mahi wala hata usijali mi mtu wa kuchekaNakutania bana
Wewe sio mfupi
ππππ ila weweNitampeleka gym
Wedges πππBlock heels
Watu wabaya sanaNiko Njombe mahi ππππ
Mimi utajiri niutoe wapi??
πππ Utajiri nautoa wapi?? Hapa nimetoka kula chakula cha msibani sina habareeeeMmmh kusema ukweli kabisa na kwaresma hii, huyo ndio tajiri. Amini kwamba
Kusema ukweli mm sio tajiri, hili nalisema kutoka moyoni. Ila yeye [emoji119]Mke wa tajiri naye ni tajiri tu
Mazingira yanaonekana[emoji119]
Tajiri anatusanifu humu kuwa yupo anakinga maji ya mvua makambako,Kumbe anaishi uzunguni sijui Masaki huko..
Makambako hakuna sehemu ya hivyo.
[emoji23][emoji23]Kaa kwa kutulia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ole wako uiweke, hizi zinatosha
ππππ Ila Anne ujue unanichekesha sanaWatu wabaya sana
Ukisikiliza stori zako unaweza dhani wote tupo Tandika.
kumbe!
Hivyo viatu hata mwendokasi haviwezi kupanda.
AiseeKusema uongo ukweli mm sio tajiri, hili nalisema kutoka moyoni. Ila yeye [emoji119]
Hapana haishi masaki, but anapoishi [emoji119]
Kwanza ngoja nifute hiyo video sitaki ipandishe watu visirani bure πππ[emoji23][emoji23]
Pamoja na hizi video kweli mods bado watachukua hatua?
Unayaweza ππππKusema ukweli mm sio tajiri, hili nalisema kutoka moyoni. Ila yeye [emoji119]
Hapana haishi masaki, but anapoishi [emoji119]
Antonnia hili la kusema lamomy mfupi kaingia chaka sanaNakutania bana
Wewe sio mfupi
Kamtaji kangu kote ka keki nitie kwenye viatuππππ Ila Anne ujue unanichekesha sana
Mbona hivo viatu sio issue kabisaa hata wewe unaweza kuwa navyo mahi
Antonnia nikimuweka gym miezi miwili namrekebisha body structure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wewe
ππππ Yani unavyokuza jamaniβ¦Kamtaji kangu kote ka keki nitie kwenye viatu
Hapo bado Ile saa
Bado nywele
Bado gauni
Nyie
Duniani yapo matabaka
Forever and always βοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ!