Mkimaliza mtuambie chanzo cha mtafaruku wenuwachaa weeee π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Kweli uko supa toluuu na fuluuu mshepuuiii ndiooooo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Danganya hao Makinda wenzio humu we know you veri welooooooo!
Namnaa hio uzi unanogaaaa sio kujadili ujinga ujinga tu !
Afu mbona picha nyingine uko pimbi nyingine toluuu ni zakoooo hizo kweli???
Iphone walichofanya Sijapentaaa haioneshi kama ni fb Instagram ama laah!
Kumbe inakuuma kuitwa kapinnchi?? Narudia tena mie sio bwanyenyeee bonge
Dahππ€£Ila humu mbona watu ni malimbukeni na ni washamba jamanii kumbe humu ni bora usijuane na mtu hii comment imejaa kinyaa na aibu.
Si umeona uliyotaka kuyajua jana nikakwambia ww tulia mahi mambo mazuri hayataki haraka ππππIla humu mbona watu ni malimbukeni na ni washamba jamanii kumbe humu ni bora usijuane na mtu hii comment imejaa kinyaa na aibu.
ππππUmeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge ππππ
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo π€£π€£π€£π€£
Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone?? π€£π€£π€£
Naaam naaamππππ kumbe kinachokuuma mimi kuwa msemaji wa wake wenzio??
Halafu mimi sio shortiiiii sawa?? Mimi size ya kati, shortiiiiii ni Selee anayekupanda ngongoti
Wewe sikuandami ila nakutibia kichaa chako, ujue mi uduguu wako lazima nikuweke sawa wewe bonge nyanya ππππ
Mimi video nilishaweka mwenzio na nakurudishia tena hiyo uangalie kwa makini
Aliepropose video humu ninani??? Nilifuatilia koments za Nyuma vizuri sana Ndio nikaomba videos zilipoanzia sijawahi omba tuweke video aliesema Hivo niwewe na kumbe ile siku uliweka ulitaka tugundue nini?Uduguu ushaanza kupoteza direction taratiiiiiibuuu unajaa kwenye mfumo ππππ
Wewe si ndo umesema tuweke video, mimi nimeweka picha tayari ushageuka hutaki tena video kwann sasa?? πππ
Miongozo ntamtaja mpk arefuke uko aliko shenzy π€£
Mimi wewe uduguu wangu, unajua maana ya uduguu?? Ni ndugu yako anayekufundisha kwenye nyeupe kusema nyeupe, na nyeusi kusema nyeusi ππππ
Inamuuma ww ulihongwa gari nini?? Mana yeye anahongwa maneno ya kubebishwa tena kwa kuforce ππππUnamuumiza udugu wako
#kudate suala 1
Kuhongwa vinono suala lingine
πππ
Tuliaaaa na wewe
EwaaaaaaaaπππView attachment 2919043
Kama hivo π₯Ή
Kuna mtu namjua anapenda viatu vilivochongoka mbele kama hivi π₯°π₯°π₯°View attachment 2919043
Kama hivo π₯Ή
Ile siku ile tulikuwa tuna vibe nikaweka video na ndio iliokuuma mpk ukaja na id nyingine kulalamika sasa pale uliumia nini?? Mbona video ya kawaida sana uduguuu ππππAliepropose video humu ninani??? Nilifuatilia koments za Nyuma vizuri sana Ndio nikaomba videos zilipoanzia sijawahi omba tuweke video aliesema Hivo niwewe na kumbe ile siku uliweka ulitaka tugundue nini?
Miongozo miongozo miongozo nawee njoo upewe mwongozo resources zipoooo !
Kabisaπππππ
Ndio muda wa kutangaza keki sasa
Muda wa mapumziko wanakula zao red velvet taratibu huku tunawasubiri
Hawana bayaπππ
Unafahamu fika kinachoniuma ni kunihusisha na ids mpya humu wewe unazingua na kutoka mwenyewe utasema yoteee afu mi sijafungua hata mdomo wangu!ππππ kumbe kinachokuuma mimi kuwa msemaji wa wake wenzio??
Halafu mimi sio shortiiiii sawa?? Mimi size ya kati, shortiiiiii ni Selee anayekupanda ngongoti
Wewe sikuandami ila nakutibia kichaa chako, ujue mi uduguu wako lazima nikuweke sawa wewe bonge nyanya ππππ
Mimi video nilishaweka mwenzio na nakurudishia tena hiyo uangalie kwa makini
ππkumbe anafosi? HahaaaInamuuma ww ulihongwa gari nini?? Mana yeye anahongwa maneno ya kubebishwa tena kwa kuforce ππππ
Halafu ule uzi alijifungulia mwenyewe kuwarusha roho ππππ
Sele alimpa password akaamua kuwarusha roho nyie JF tamu sana
Basi hapo kavimbisha mashavu ingekuwa kipindi kile angewahi pm kukandia ππππView attachment 2919043
Kama hivo π₯Ή