Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwakua wewe unahaha na Maltipo ids unadhani na wengine tuna huo muda hahaa! Mods wako makini katika kuunga ids jiulize wewe na ids zako za penso yen34 sijui ye67 !

Mikwara uchwara yako pelekea hao wifi zapo pimbbi wenzio?

Gram awe Wangu afu nikukuwadie Wewe pimbiii??? Sio Mimi huyu Tonnia ninaechanganyikiwa na mahusiano labda nhaanhaaa!
Nishakwambia leta story mpya miongozo babu hazina maajabu tushazichoka!
Bado hujasemaaa!!!

Hebu chati na picha tusipigwe ban na Uzi usifungwe weee kipinchi!/duwafu
 
Humu tunaselfika si kuanza kuchambuana dear jiamini na ujiachie kwaraha zako and be you wasikupangie maisha!
Wewe mbona unachambua wenzio??
Halafu ulivyoona dee kakuchukulia miongozo eti ukaamua na wewe kulipiza kwa babu miga 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Halafu ukatupa dhambi ya bure kumchamba ex baby wako miga…. Uduguu una dhambi wewe
 
Yaani unavyozidi kujitetea ndio unazidi kuharibu.

Chanzo cha yote unakuja..
Ni kumnanga yeye public..na nyie ndio mliomleta jamaa hapa mlivyomtag.
Sisi hata tulikuwa hatumjui.

Rekebisheni hapo na mkayamalise.
Vinginevyo mtakesha.
Humu ni everyday nitaulizwa ndo maana naona nitoke zangu tu .
 
Zile id’s zote ni zako mama Miongozo na ndiomana mods wakaifuta id yangu wakakuachia ids zako upambane nazo unadhani mod’s hawakujua hilo???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na nitawaambia na ya Ramona nayo wakuunganishie utulie, gram wako ulivyoona nimekukushushua ndio ukaanza kunipa ubuyu wa wewe kutoka naye na wanakuonea wivu sana kila mwanaume unayempata humu ana pesa wanakuibia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa kwann ulikuwa unajipamba na id’s zako?? Unajua kwenye hili huchomoki zile id’s kila siku zinakupamba na kututukana wengine, wewe hujishangai?? Bingwa wa kujisifia na kujiita aunt, yani wewe unajitia kidole na kujinusa mwenyewe ujue 🀣🀣🀣🀣
 
Dah kuna siku naletewa screenshot IDs zimenitukana hatari
Stori ambazo na mm ndio naziona pale


Sema mimi sinaga muda wa kujibu vichaa nikasema tu Mungu ataufunua ukweli.
 
Dah niwaache wenyewe myamalize
Sema hapa mnasema siri ..
Watu wanakula tu ubuyu .
Huyu nimewaambia niachieni mimi naenda naye taratiiiiibu….
Hapa kwanza kaenda kunywa maji, najua atarudi muda sio mrefu uduguu wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ninavyojua kumpanikisha sasa atafunguka yote nyie tulieni na muone
 
Huyu nimewaambia niachieni mimi naenda naye taratiiiiibu….
Hapa kwanza kaenda kunywa maji, najua atarudi muda sio mrefu uduguu wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na ninavyojua kumpanikisha sasa atafunguka yote nyie tulieni na muone
Haya bhana Mrs . Kantri
 
Yooooo 🀣🀣🀣

Babu Grahams naomba laki tisa yangu iliyobaki πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah kuna siku naletewa screenshot IDs zimenitukana hatari
Stori ambazo na mm ndio naziona pale

Sema mimi sinaga muda wa kujibu vichaa nikasema tu Mungu ataufunua ukweli.
Nkamu huyu atasema yote ww kaa kwa kutulia, sasa ww chunguza zile id’s zilizokusema kuna kitu utagundua…!!
Utaona wote wanasema watu wa aina moja na wanamsifia mtu wa aina moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na uzuri uduguu kakubali ana multiple id nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…