Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi humu mtu anapata wapi ujasiri kukwambia ana kupenda bila kusahau kukwambia uko peke yako 😁😁😁😁

Mtu mmoja ambaye anauwezo wa kumiliki ID hata mia😁😁😁😁
Shangaa na wewe?!!
Kuna watu walitongozana kwa mara ya pili kwa id tofauti na za mwanzo…
Walikuja kushtuka walivyokutana tena, walijiona wote malaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Humu kuna wachawi, km huna roho ya paka unatema ndoano

Ila JF kuna mtu unamuona shosti huwezi amini anachat piem na mpz wako na wanakuteta kabisaaa!!!
Muwe mnawatajaaaa bhanaaa,

Sie wengine kuishi na shauku hatuweziii.
 
Kwa hali ya kawaida asingepanic vile bana, hivi national na Rab nani kati yao ulimpenda sana??
Na mjep na eron naye nani ulimpenda sana??
Mana hao wote ndio uliambiwa ulitoka nao humu 😜
Hehehe makubwa nimetokaje na hao wote dah
Hao wote ni kaka zangu .
 
Humu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password

Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
watu na bi mkubwa wake mjiniiii.
Wapiiii JF, watu na access zenuuu. Mnatambaaa tyuuuh
 
Kwa hali ya kawaida asingepanic vile bana, hivi national na Rab nani kati yao ulimpenda sana??
Na mjep na eron naye nani ulimpenda sana??
Mana hao wote ndio uliambiwa ulitoka nao humu
amesema Rab ndo great guy haswaa.
Na access ya JF alipewa, vipi hao wenginee?
 
Shangaa na wewe?!!
Kuna watu walitongozana kwa mara ya pili kwa id tofauti na za mwanzo…
Walikuja kushtuka walivyokutana tena, walijiona wote malaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu kwa nini Wanawake wanao shea dudyu humu wanagombana wawe na umoja kwa maana wote watapigwa chini sooon laiti wangejua wenzenu kwenye kikao chao wamedhamilia ni chapa ilale, Nendeni kwenye uzi wa kuliwa kimasihara ndo mtajua humu kuna wahuni sana.
 
Humu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
Humu ni hatari zaidi ya danger
Ila wanaume dah, why anafanya hivi
Siku akijua ni kilio .
 
Hehee

Anajua kujali sana
Anaonyesha upendo
He's sweet balaa
Genius
Protective
Anakupa muda wake hii ndo kazidi
Anatamani kukuinua kwanza
Piga kelele kwa Rab ake, weuweeeeeeeeeeeeee
, sasa mbona hapa alikukana hakutaki na hakuwahi kukupenda, ila wee ndo ulikua unashobokaaa kwakee, iko namna ganii hiii?

Hebu elezaaa hapa kwan?
 
😁😁😁
 
Eeh nimemsifia tu jinsi alivyo .
Hayo mengine ni yalitokea tu.
Upendo ukiisha bhana Kila jambo zuri linakuwa baya .
 
shida Sele ana ulimbo, ukinasaa hutokiiii.
Labda lije greda bovu likukwangue hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…