Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani humu wachawi kote kote
Siikumbuki nishahau na kufuta

Ila vichambo haswa
Ila hao watu dah πŸ˜‚πŸ˜‚

Yeah ni Bora mfunge wote na kukaza na hakuna kufungua hata iweje .

Muwe mnaongea kwa pamoja .

Uaminifu pia .
Humu kuna wachawi, km huna roho ya paka unatema ndoano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila JF kuna mtu unamuona shosti huwezi amini anachat piem na mpz wako na wanakuteta kabisaaa!!!
 
Humu kuna wachawi, km huna roho ya paka unatema ndoano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila JF kuna mtu unamuona shosti huwezi amini anachat piem na mpz wako na wanakuteta kabisaaa!!!
Basi humu ndani Kuna kunafikiana sana ..
Urafiki wa mchongo , mahusiano ndo kabisa .

Yaani watu ni Wana wivu hatariiiiii
 
Basi humu ndani Kuna kunafikiana sana ..
Urafiki wa mchongo , mahusiano ndo kabisa .

Yaani watu ni Wana wivu hatariiiiii
Humu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
 
Humu hakuna urafiki kila siku mimi nasema, humu ni kwa kukaa kwa password πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nna ushahidi kabisa bro mmoja kapiga mtu na shogaake na bi mkubwa hajui
Hivi humu mtu anapata wapi ujasiri kukwambia ana kupenda bila kusahau kukwambia uko peke yako 😁😁😁😁

Mtu mmoja ambaye anauwezo wa kumiliki ID hata mia😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…