Uwii mwenyewe nilishangaa kabisa yaani wivu wa aina Gani hivyoπ€£π€£π€£π€£ JF nyoko mi kuna mtu alimfata kantry kumpa ushauri kuhusu mimi.!!
Yani humu mpk mababa na wamama wa kiroho wapo!!
Dogo Umesha Rudi kutoka italy?π€£π
Sawa na wewe nmekumissUsiku mwema
Ukweli upi Tena dear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbona ulikuja kuomba msamaha DA tin? Wee em sena kweliii bhanaa
[emoji23][emoji23]Kkoo ndio nini aikooo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo Mbozi nakinga maji ya mvua
Unawachanganyaa waja, akat mie ni dume na ni shoga, sasa huu dada nautoa wapiiii?Dada una elimu ya uchonganishi [emoji16][emoji16][emoji16]
ππππ Mwaya kufichana haihusu kabesaaaa!! (In uduguu voice)Uwii mwenyewe nilishangaa kabisa yaani wivu wa aina Gani hivyo
Humu wanataka ukiwa na couple msionyeshane .
Mfichane kama dawa ya mbu
Mungu ni mwema,nilipona kabisaMkuu hivi uliponaga vidonda vyako vya tumbo ?????
Tumia app mpya ipo playstore kaka
Humu ni hatariAikoooo! kutulingishia ma vacayy we kuweza? π€£ π€£ π€£ π€£ na ss tuna moyo π€£π€£π€£
Ooooh mama malezi umeshakujaaa hapa tayariiiii??Teh hicho ambacho "kilikuwa na mambo mengi humu" ni mimi au unakiongelea kinani? Na unaweza kuyataja hayo mambo?
Aikoooooo! Couple? Couple? Couple humuu? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ kweli sikio la kufwa humu unapigwa na I'D Saba za kiumbe mmoja nyie nyieeee shauri zenuUwii mwenyewe nilishangaa kabisa yaani wivu wa aina Gani hivyo
Humu wanataka ukiwa na couple msionyeshane upendo
Mfichane kama dawa ya mbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie huu uzi leo wa moto unaenda kwa episode [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Max njoo utulipishe tuchangie Forum
ππππ Mwaya kufichana haihusu kabesaaaa!! (In uduguu voice)
Ww tuonyeshe ikifika mwisho basi kamata mwingine haina kupoa
App mpya ni yale yaleMkuu hivi uliponaga vidonda vyako vya tumbo ?????
Tumia app mpya ipo playstore kaka
Halafu humu mbona watu wana achana na hawa nyooshewi vidole,mfano ni Niffer wala kwa amani sababu Mwanaume alikuwa mtulivu shida ukiwa na wake wenza wengi πππππππ Mwaya kufichana haihusu kabesaaaa!! (In uduguu voice)
Ww tuonyeshe ikifika mwisho basi kamata mwingine haina kupoa
Humu couple haifai Bora uende nje huko dunianiAikoooooo! Couple? Couple? Couple humuu? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ kweli sikio la kufwa humu unapigwa na I'D Saba za kiumbe mmoja nyie nyieeee shauri zenu
Eeeeeeh haya mapyaa sasa, hao wahuni ni kina nani wataje DA tin tafadhariiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatujawahi kuonana
Humu watu ni wabaya sana ni wanaenda na silaha kabisa za vita
Mtu anajifanya huyo demu ni wangu
Mara mhuni hajatulia na maneno kibao .
Ndo ikabidi nimwambie huyo kaka watu niliowahi onana humu .
Sema hujapata mwanaume mwenye msimamo angewashushua wote wangerudi sura zimewashuka πππWeh ndo wataenda kwa mwingine huyo
Na kumjaza maneno kibao
Demu yule ana Ngoma ni hajatulia
Vikundi vinaundwa huko pm kwa lengo la kukuchafua w ke .
Hao wote wapoo km walivyooNataka tu nijue wamebadil ID au
Yule papaa alokua anamwaga vocha
Kunae yule Eng wa barabara
Kuna rubani
Wanawake alkuepo mmoja wa kansani
Mwingine anapenda bajaj
Yaan ni nomaaaa.Humu ni balaa na mkosi kwa kweli .
Ni kukaa kwa kutulia