Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23] unajua leo nimepitwa na mengi humu, hebu ngoja nipitie comment moja baada ya nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na umepitwaa kweliiii.
 
Uduguu tulia umeniqoute mara mbili ujue 😂😂😂🤣

Sema nini punguza jazba maziwa yatakuwa hayatoki utashindwa kumnyonyesha mtoto 😂😂😂😂

Haya yameisha nimesamehe saba mara sabini kwaresima hii
 
Nikukandie kwa lipi yani???? Sijaona na sinaaa la kukujia na id mpya!
Hayo yote ni marudio nasubiria jipya!
 
Sasa wee una muaminii vipiii mtuu bhanaaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikupaaa nn hadi ujitoe muhanga hvyoo?

Kipi special alikupaaa?
😅
Ni ujinga tu
Na ilikuwa nijifunze kitu maana hii tabia ni mbaya .

Unajua unaweza ukapata jambo kumbe limekuja kukufundisha vitu . Ndo hilo .
 
Wewe fall tu bhana maisha yenyew Yako wapi
Kunawengine tumeambiwa mapenzi tu duniani hapa Hela hatukujaaliwa na hili la Bure nalo litushinde[emoji3][emoji3]
Shangaziiiii em taratibuuu, usimjazee mwenzio kikamkuta kituuu tenaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😅
Ni ujinga tu
Na ilikuwa nijifunze kitu maana hii tabia ni mbaya .

Unajua unaweza ukapata jambo kumbe limekuja kukufundisha vitu . Ndo hilo .
Tin nilikwambia humu hutakiwi kuogopa hata usemwe vipi!!
Ila umenikosha ulivyopita na visate vya wadau 😂😂😂😂

Sasa fanya na miongozo umlie pesa, nasikia anazimwaga km njugu 🤣🤣🤣
 
Shangaziiiii em taratibuuu, usimjazee mwenzio kikamkuta kituuu tenaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Shangazi mwenyew nambembeleza ankowako hatari Sina mda wa kutafuta mpenz mpya muda hautoshi 😂😂😂
 
Muulize huyo uduguuu wako anaeniuzia kesi zisizo zangu me and her were okay kabisa atajua mwenyewe yaliyomsibu hata hivo nishasema Baadhi ya marafiki ni wasenggge tu ndokama hivi! Sa huyo lamama nianze kumkandia kwa id mpya kisa nini kwa mfano?
Duuuuh kaziii ipooo. Hii mpyaa kabisaaaa.
Aseeeeh nyie mnajua mnachogombanaaa.

Mie ndo hata sikua najua chochote, nashangaaa hapaa. Mtamalizanaga wenyewee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…