Leo niwe lefa kwenye huu uziππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] namsubiri kwa hamu uduguu anguu, afu hana jambo dogo sasa.
Alafu naomba unifafanulie kitu; nimerudi Jf nakutana na mastar wenye id mpya wengi sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machoziiii.
Wee weka, ita trend tyuuh, ubuyu mda c badoo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muarabu tenaa doktaaaa? Wa wapi Yemen au Taiwan? UwiiiiiihWatu Wana wivu na vitu vidogo vidogo sana.
Shida hawaamini kama mngoni anaweza kuwa mweupe kama mwarabu.
Uwe fourth official, utoage dkk za nyongezaa.Leo niwe lefa kwenye huu uzi[emoji16][emoji16]
Hehee nishaombewa ni limetoka kabisa π .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapo ndo unafeliii tin, pepo la umbea linakutokaje haraka na ghaflaa hiviii??
Hebu fanya kulazimisha li rudi mara 1, litupatie wambea ile kitu roho inapendaaa.
Hapo ndo nachoka π, after all this time.Namaanisha ukiona hivyoπ
Umbea kipajii aseee kama sio hobby yako bora kujiepusha! Nilisema huu Uzi mimi nikianza jibu tu lazima pasitoshe hapa hahahaha!Ah sitaki kufukua mambo mie
Nisije chambwa Tena ππ
Naishia hapo hapo tu .
Mimi niliingiwa na pepo la umbeya na limeshatoka tayari ππ .
Niliwahi kusema uzi unahitaji maji ya Mwamposa watu wakanipotezeaππUwe fourth official, utoage dkk za nyongezaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@LamomyAlafu naomba unifafanulie kitu; nimerudi Jf nakutana na mastar wenye id mpya wengi sana.
Mfano Lamomy anatrend kweli kweli,alafu Kuna aletuya . Hebu nambie Majina ya IDs zao za zamani nisije kuyakanyaga siku namwibukia mtu pm ahahaha. Tuanze na hawa wawili,mwaka mmoja uliopita kipindi sipo walijiitaje?
Mimi wala sina πHapo ndo nachoka π, after all this time.
Bado tuna ishi kwa kuviziana π
Wee em funguka bhana, maana Rab alikua anatoa ubuyu kwa kuficha ficha, sasa wee ndo umalize kila kitu yaan.Hehee nishaombewa ni limetoka kabisa [emoji28].
Nitakuwa najichoresha tu since it's all me .
I guess you understand how sensitive the issue is ,
pia I don't want to blame anyone on this issue.
Since I'm guilty ..
umekunywa nini leo?Eeeeee aloooooo π
Qmanina zenu bado hamjasema ππππ
Sema hebu tulia usinifanye niyamwage kweli wakati sikuwa na mpango huo..!!!
Kumbe kimekuuma kupotezewa??
Ndio ujifunze kuishi na watu, nyangβau wee!!
Mimi bana siogopi kusemwa sababu hakuna anayenijua humu, labda huyo Kantry
Sasa mtu kujifanya uduguu wangu alafu bin vuuup unabadili id unakuja kunichamba hiyo ndio sipendi..!!!
Ww km umeamua kujivika mabomu njoo na id yako tuliozoeana unichambe unavyotakaβ¦.
Huo undumilakuwili ni wako mahi uduguu kunjifanya shosti baadae unakuja na idβs za majina ya kiume kunisema huo ndio tunauita uogaβ¦.. π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Sema nini hata sijafumbua mdomo wangu siri zako zote zipo salama ila ukijifanya chizi nayamwaga ππππππ
Unajua watoto wa kingoni Wana asili ya south.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muarabu tenaa doktaaaa? Wa wapi Yemen au Taiwan? Uwiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huu uzi ni tetemeko la JF nzima.Niliwahi kusema uzi unahitaji maji ya Mwamposa watu wakanipotezea[emoji16][emoji16]
Sema leo tumalize utata, niulize swali lolote ili utoe utata ππMimi wala sina π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule mlugha lugha jamaniiii?Unajua watoto wa kingoni Wana asili ya south.
So una ngozi Fulani hivi nyeupe kama jamaa wa "Gods must be crazy" . Hatari sana we mtoto.
Dah mkubwa ππUnajua watoto wa kingoni Wana asili ya south.
So una ngozi Fulani hivi nyeupe kama jamaa wa "Gods must be crazy" . Hatari sana we mtoto.
Halafu nimegundua ukiwa mpenzi sana wa uzi huu unakuwa mshari kuliko shari yenyewe ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan huu uzi ni tetemeko la JF nzima.
Heh kumbe ππWee em funguka bhana, maana Rab alikua anatoa ubuyu kwa kuficha ficha, sasa wee ndo umalize kila kitu yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sina Swali zaidi ya kukwambia nakufahamu na nakujuaa haswaaa siku ukijichanganya kazi unayoππππππSema leo tumalize utata, niulize swali lolote ili utoe utata ππ