Yani Asante sana ..Achana na haya mambo Tin cz hata mim pia husema watu tena kwa mabaya na mazuri. Sisi sote ni binadamu na wadhaifu.
Lakini kama umeamua kutojihusisha kwa sababu ya mtu unaowazidi akili ccy unakosea, raha jipe mwenyewe.
Vyombo niliwapelekea wake zangu wanneπ€£π€£ elewa neno wake wanneShemeji wananzengo tumegoma mpk tuone video πππππ
Na vyombo vyetu tunavitaka
Aikooooo! Jf kila mtu mjanja mjanja, bora niende chengula nikapige breakdance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Humu ndani ni hatari Aikoo!!
Ni kujitekenya na kucheka mwenyeweβ¦..
Dah! Mecheka sana hebu niache kwanza
ππππ Haya kaa utulie unisimulie mi niko hapa nasubiri mwaya mdogo angu mchwitiiii Tinβ¦.
Hao ni vibabu bana, vijana wa humu wote wanahonga afu tatu na wanakuja kukufungulia uzi juu π€£π€£π€£
Hao vibabu ndiomana hata hawakulalamika wenyewe wao wanataka uwasafishe tyuuu.!!
Hao wakishika nyonyo kwa sate wanaridhika π€£π€£π€£
Halafu mi ninakoendea ntapigwa
Coca njoo shemeji anakukana hadharani leo πππππNa coca pia ni rafiki yangu tu watu wajue hivyo maana nimeshatukanwa hadharani kwenye comment na wengine kunifata pm kunitukana eti nakula mashoga
Yani waswahili wanachulia maisha ya jf too serious
Watu kibao nawatania humu wengi siwafahamu lkn wajumbe either wa wivu wao binafsi au kwa kuwa na mahusiano na hao watu wanadhani nawa seduce kuwataka au natoka nao
Aikoooo!! Ukabambie chengula hall ππππAikooooo! Jf kila mtu mjanja mjanja, bora niende chengula nikapige breakdance[emoji23]
Sijamuona, mzuri kweli? Mkaree kweli?[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] oyoooooo.!!
Jamani mtoto mkaree huyu.!! Mjep mahari iongezwee rangi ya mtume, udongo wa dubai, rangi ya pesa hii
Hili toto bila tanesco unamulikwa ndaniβ¦. Mtoto portable easy to carry [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Haya wale nyoko nyoko chuma mmekiona.???
Haya mkajambe week end imeisha kibabe [emoji7][emoji7][emoji7]
Oyoooooooo!! Vijana kuna ujumbe wenu hapa ππππHehee makubwa hao vijana waongeze dau wafike hata 50K
Wawazidi wazee (jokes)
Ila jeifu lol humu ndani ni π₯
Mimi sio muongeaji dear hapa yenyewe macho yanauma usingizi .
Vitu vingine nishasahau ili kujiponya nafsi .
Sawa ccy naona tu umelelewa vzuri, cz busara unazo.Yani Asante sana ..
Hii ndo adhabu nzuri nayotakiwa kuipata baada ya kuwa mjinga kiasi kile .
Muda mwingine inafaa kunipa adhabu mwenyewe baada ya kushindwa kutumia akili na kutumia hisia .
ππππ Warumi wako Italy bana usinichoshe mieSijamuona, mzuri kweli? Mkaree kweli?
Warumi......
Hehee Nouma π πOyoooooooo!! Vijana kuna ujumbe wenu hapa ππππ
Ila vibabu vina sifa yani kiss vinatoa sate whooooufff πππ
Vijana ongezeni kasi vibabu vinashambulia sana karibu na goli lenu
Thank you π, I appreciateSawa ccy naona tu umelelewa vzuri, cz busara unazo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Warumi wako Italy bana usinichoshe mie
Okay babeThank you π, I appreciate
ππππ Shem tunaomba mgao wetu wa vyombo hii haikubaliki kabisaaaVyombo niliwapelekea wake zangu wanneπ€£π€£ elewa neno wake wanne
πππ Vibabu vinashambulia sana upande wa vijana, labda Mpaji Mungu anaweza kuokoa team, huyu winga wa kkoo inasemekana ana maokoto sana upande wa vijanaβ¦. πββοΈπββοΈπββοΈHehee Nouma π π
ππππ Acha kunitibua[emoji23][emoji23]
Siweziiiiiiii shindana na people venye wako mwisho wa reli π€£π€£πππ Vibabu vinashambulia sana upande wa vijana, labda Mpaji Mungu anaweza kuokoa team, huyu winga wa kkoo
Ooh safi sanaπππ Vibabu vinashambulia sana upande wa vijana, labda Mpaji Mungu anaweza kuokoa team, huyu winga wa kkoo inasemekana ana maokoto sana upande wa vijanaβ¦. πββοΈπββοΈπββοΈ
πππ Vijana huyu beki kawauza inaonekana kakata tamaa, vibabu vinaendelea kujiokotea point za buree na mabinti wamegoma kupewa afu tatuβ¦. Namuona kijana kaachia goli babu afunge goaaaaaaalllllSiweziiiiiiii shindana na people venye wako mwisho wa reli π€£π€£