Namna hiiiii uzi unapendeza kitu naked kabisa!!Kama tunawakwazaa semeniiiiπ
ZA ASUBUHI BOSS Mjep raraa reree mshamba_hachekwi Wigelekelo Ntiluseswa Mshana Jr Grahams Carasco Putin
AMKENI MNALALA MNA RAHA GANI?
Umeenda kanisani na jezi ya yanga? Saint AnneMimi ni Yangaππ
Mbele daima
Ndiyo[emoji23]Umeenda kanisani na jezi ya yanga? Saint Anne
π€£π€£π€£π€£ Tin mlokole hana hizo shostizo wangu bana, halafu mi nachangamsha genge hapaβ¦.Tena anakung'oa na meno
Moyo wangu unadunda sana kila nikiona picha zako, nakuelewa sana embu niambie ukwapi nije nikupe raha kipenzi changu Saint AnneNyuma mwikoView attachment 2915843
Hautukwazi tajiriKama tunawakwazaa semeniiiiπ
Hahaha au tunagubuu sanaaHautukwazi tajiri
Sawa alafu ww ni muongo ukanambia jana utaselfika lkn hola.π€£π€£π€£π€£ Tin mlokole hana hizo shostizo wangu bana, halafu mi nachangamsha genge hapaβ¦.
Yule binti Sayuni hizi mbungi zetu haziwezi kabisaaaβ¦!!
Mzee lazim nitoke nje na jacket kubwa na gloves heavy na a benie maana bila hivyo sitoboiπ΄Dah!
Hivyo viganja vitaweza kweli kushika hizo handles hata kama una gloves...
Hakuna sehemu baridi inachapa kama kwenye pua, masikio, vidole vya mikono na miguu (sehemu damu ipo kwa uchache na hakuna mafuta mwili)
Kabisa arudi maneno kawaida bana, Tin rudi shosti ila punguza kuwajua watu nje ya JF uenjoy life la humu πππTinsley
Waylen
Babe gal usiwe na wasiwasi kujichanganya na kuchangia chochote selfika au popote.
Sisi sote ni binadamu na sisi sote hukosea
Yule alokufanyia ule upumbavu alisahau kua yeye pia ni binadamu na ana madhaifu mengi pengine hata kukushinda wewe.
Hakuna binadamu alokua na mabaya tu hata wema pia.
Ukiona ujumbe wangu tafadhali
Ufanyie kazi.
Tulia hapo hapo usitoke mahiSawa alafu ww ni muongo ukanambia jana utaselfika lkn hola.
Selfika sa hv tumalizaneπ₯΄π₯΄π₯΄π₯΄
Uko wapi nishafika mcity πππKabisaaa kabisaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo hiya hiya heya heya mji mzito πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mabwakuuuu
ππππ uduguuu majutraa watu km tumezaliwa Somalia addsetfydrzxsscggv boomπ₯·πΏπ£ππππΔ°la udugu una heka heka si ndogo haipiti siku bila kugombana πππ
Uduguu njoo nimerudi πππWee uduguu ulikua wapiii? Na ninataka kukubkec kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa usitoke kaa hapo hapo, kijora cha sale ya kufatia vyombo si unacho??Niko hapa njia panda ya segerea kwenda majumba 6.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]