Wee DA lamoo ukuje hukuu, wifiii yako yuko winja winja.Pambeeee......tena Wifi Kinga yangu kubwaaa, adeke tu wifi yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntaselfikaa na sina bando, picha itapata ukunguu.Ebu selfika kwanza
Tumemiss ka selfie kazuriii
Angle ya picha inatoa siksi paki kumbe 😅kawaida tu Jo, labda angle ya picha ...
Ntaselfikaa na sina bando, picha itapata ukunguu.
Hebuu nipee vocha kwan wee mwanaume, inakuaje nateseka nawee upooo?
Jamaniii lekcharaaa upooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Selfika acha maneno
Jamaniii lekcharaaa upooo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnipe kwani hizo vochaa ndo ntaselfika,
Niselfike kwa bundle la kukopaa? Wee kuwezaa?
Angle ya picha inatoa siksi paki kumbe 😅
ndio Jo...
Na waweza onekana una kitambi pia...
Jamani 😂
Na inaweza kukufanya uonekane una vidole vizuri
Njoo nikupigishe tizi😁Nimekua mnene acha.
Ila soon naanza diet kidg kidg kuna size fulani naitaka.
Haya zamu yako
Tizi gani hiloNjoo nikupigishe tizi😁
Cardio tu za kawaida unakonda chap😅Tizi gani hilo
Mhhh me sitak ww uwe trainer wangu maan mhhhhCardio tu za kawaida unakonda chap😅
Ni bless na kapicha babeCardio tu za kawaida unakonda chap😅
oraaa weka maphotongaa nikuzoomJamani 😂
Na inaweza kukufanya uonekane una vidole vizuri
Your wish is my command babe😂Ni bless na kapicha babe
Sawa nangoja hapaYour wish is my command babe😂
Eeeeh mchumba ni handsome
asante babeEeeeh mchumba ni handsome