Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi sikucheki bana, kwanza ww ni super tall wifi yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu mpk leo sijawahi kujua ulikuwa unaniita wifi kwa nani??? 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Shida hii picha bn macho yameshakwiva
 
Kwa Mjep
Alafu me sio mrefu nalingana urefu na Mahondaw kabisa.
Weeee!! Kumbe?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo shemeji yangu kwa coca bana
Sema huyo kaka ako katuudhi, kuna vyombo vyetu vilinunuliwa havijafika kwa bi mkubwa coca 🀣🀣🀣
Kesho naweka mafuta kirikuu tunavifata
 
Weeee!! Kumbe?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo shemeji yangu kwa coca bana
Sema huyo kaka ako katuudhi, kuna vyombo vyetu vilinunuliwa havijafika kwa bi mkubwa coca 🀣🀣🀣
Kesho naweka mafuta kirikuu tunavifata
Achaneni navyo mtapata vipya from UturukiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…