Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,572
- 235,412
Kweli kumekuwa na jotoπArusha beib. Now jua linawaka
Sikuhizi tunafika 30
Baridi kwa kubeep sana mvua ikinyesha.
View attachment 2913099
Hapo lianguke? Na bado sijaonana na flying fish πHilo jicho linadondoka
.....Ya.. like this,, si unaona pembeni ya skio na kati havifanani? Nywele level 1 siwezi π
View attachment 2913112
Hivi majira uwa yanatofautiana mkoa kwa mkoa? Hii Feb Arusha jua linawaka na ninadhani uwa inafika mpk March. Kisha April mvua..Kweli kumekuwa na jotoπ
Sisi bado ngoma mbichi
Sisi mvua zinaanza tena mwezi huu mwishoni.Hivi majira uwa yanatofautiana mkoa kwa mkoa? Hii Feb Arusha jua linawaka na ninadhani uwa inafika mpk March. Kisha April mvua..
Baridi linapendeza. Halichoshi kama jua
Pandisha kidogo basically tuone vaseline iliyvokolea.
Yaah, hata mimi za pembeni ziko low cut kabisa.Ya.. like this,, si unaona pembeni ya skio na kati havifanani? Nywele level 1 siwezi π
View attachment 2913112
Kazi gani hiyoπ?Kazi ipo..
Enjoy ur new lookYaah, hata mimi za pembeni ziko low cut kabisa.
ππ kila la kheri kwenye majukumu ya ubize.Let me keep myself busy jicho linadindishaaa.
Kuendana na kasi ya uzi huu...Kazi gani hiyoπ?
Mtoto una guu la bia π₯π₯π₯π₯π€Mnaoweza kuvaa kiatu asbh- jioni bila kuvua hongereni. Hapa nishavua nimevaa vindala Dr Lizzy ππView attachment 2913065
Umeniacha mwenyewe chumbani muda mrefuuuu⦠jumbe zangu huzipati?Mbonaa nipoo mie, wee ndo umenisusaa dear.
Hahahahaha..emoj remover
Wee Muongo hujatupia!Ushapitwa kwa kweli πππππππππ