Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Em twende polepole
Mim sikua najua ila nilikua tu nahisi hisi.
Kuna wakati sikua sana huku ndani nilikua nipo nalima mabuyuz.
 
Humu Nimeona kuna Cute wife joined juzijuzi tu uduguuu ndio waliiunga Moja kwa moja???
 
Humu Nimeona kuna Cute wife joined juzijuzi tu uduguuu ndio waliiunga Moja kwa moja???
Baada ya kuongea na mods khs id yangu ya cute wife kuunganishwa na penseli, ikabidi waniambie mimi niendelee na hii ila ya cute wife wanaifuta…… ila sijui nani uko kafungua id mpya kajiita cute wife naona aliipenda username yangu ila sio mimi
 
Dohh!
 
lazima unimic, mie ndo uduguu wako humu JF.
bhana nilikua huko maporini, si unajua life ni kufight.
Popote kambi.
Pole ndio maisha kupambana uduguu wangu πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Nilikumiss sana ujue ww ndio mdogo angu mnjuri njuri nikupendaye since day one humu jf πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…