Umeadimika kipenzi ππMpendwaππ₯π₯π₯π₯π₯π₯
Mmependeha hadi raha
Happy Valentines day to you π₯π₯
Umeadimika kipenzi ππ
Haya wenye wapenzi wenu mtuletee picha mkiwa wawili wawili tunasubiri kabla hatujaenda church muwahi basi π
πππAmeen ππ»ππ»ππ»
Hapana tar 21,j5 ijayoJumatano hii ya leo ?
Tuwekee picha ya bibi tumuoneππππ
Nyingine tena ππTupia nyingine mpendwa
Tusuuze tena macho
Nipo mwingi,
Labda tunapishana tu mida.
Hahahahaha..hebu anza wewe na yule nani sijuiHaya wenye wapenzi wenu mtuletee picha mkiwa wawili wawili tunasubiri kabla hatujaenda church muwahi basi π
Ok Mungu akijaalia seat ya katikati...muda gani ..najua eneo ni pale pale Kawe ?Hapana tar 21,j5 ijayo
Hahahaha!Tusiokua na wapenzi hii ni adhabu nyingine kabisa
Karibu sanaImekaa vzr hii tutakuwepo
Hahahahaha..Merci ..nimesave ili nisipitweKaribu sana
Naona chama kwa mbaliπ
Ndiyo mpendwaNyingine tena ππ
AmenHahahahaha..Merci ..nimesave ili nisipitwe