Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Sio mbaya kuwa keki katika ulimwengu wa maandazi.Akili zako unazijua mwenyewe 😂
No wonder ukavuruga na uzi wetu🤣🤣🤣🤣tukaanza kutangatanga bila kijiwe cha kueleweka
Safii hapo maliza hyo halafu uanze kunywa pombeFriday...
View attachment 2898715
Unaweza kuthibitisha hizi tuhuma???Akili zako unazijua mwenyewe 😂
No wonder ukavuruga na uzi wetu🤣🤣🤣🤣tukaanza kutangatanga bila kijiwe cha kueleweka
Chukua basi vipande hivyoSio mbaya kuwa keki katika ulimwengu wa maandazi.
Kumbe!Siyo bia haina kilevi.
🤠🤠🤠🤠🤠🤠!Ngoja nitumie lugha yako....santoooo sana udugu 😃
Looks delicious as you.Chukua basi vipande hivyo
Watu wabunifu sana nashangaa Saint Anne na Mahondaw wanakwama wapi. 😅
Nikija Mbeya ntakuletea.Kumbe!
Naiomba
Utatoa ya moyoni sasa😂
Basi ngoja twende British Council kwanza😀Hao wazee wa mahaba yenye ung'eng'e 😊
Doh ndo chapati za shepu ya kyup jamani hizo mi hapana!☺️Watu wabunifu sana nashangaa Saint Anne na Mahondaw wanakwama wapi. 😅
Gwe nkamu pitasi ntalalaHahah😊 pitasi nitatupia nkamu lazima niondoe baadhi ya information sasa nipo munjila
Kwa nini mkuuHahaha umenifanya nicheke kama fala...
Yenye kileviNikija Mbeya ntakuletea.
Hiyo ina muda wa kumuandalia baby wako. Na akiiona tu anajua message sent and delivery 😊😀Doh ndo chapati za shepu ya kyup jamani hizo hapana!☺️
Mchumba naona unaendelea ulipoishia mwaka jana
Acha Nkamu aselfike😂🔥Utatoa ya moyoni sasa😂