Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Watoto wa kishua mnadhani kila mtu wa kishua๐Sio mkono wako huo na hujui kusuka ukiri. ๐
Daima mbele nyuma mwikoYanga
Ccm
Njoo kwa ground utashangaaWatoto wa kishua mnadhani kila mtu wa kishua๐
Ww si ulikuwa unaniua ๐คฃ๐คฃ๐คฃFuta hilo gazeti mrembo
Mchumba naona unaendelea ulipoishia mwaka jana
Wengi wenu mmezaliwa ushuani hamjui hata ukindu ni niniNjoo kwa ground utashangaa
Kuna aina mbili tu za watu, wale wanaokubaliana na mimi na wale ambao wamekosea. Wewe umekosea๐Wengi wenu mmezaliwa ushuani hamjui hata ukindu ni nini
Unafanya special delivery ๐๐
HahahahahaMimi huwa nakuelewa sana articles zako, japo kuna watu huwa hawaoni kilicho nyuma ya machapisho yako ๐
Hahahahaha...ukindu tunaujua banaWengi wenu mmezaliwa ushuani hamjui hata ukindu ni nini
Hatimaye umeselfika tangu uzi huu kuanza
๐
Ukiona ma master wana selfika kama hv ujue kweli selfika iko vzr sasa
Hatimaye umeselfika tangu uzi huu kuanza
HahahahahaNot real ๐...
Kuna picha nyingi sana niliweka zamani uzi ulipoanza, utakuwa umesahau, nyingi za mwanzo utaona viatu na perfumes, na mbili au tatu niliweka masked face ikiwa grayscaled kama hivi...
Baadaye nikawaachia uzi nikaaga kabisa, nikaondoka na mamsapu wangu Sakayo...
Then, hii ni ya pili uzi ulipofufuliwa upya na Active awamu hii...
Ukiona ma master wana selfika kama hv ujue kweli selfika iko vzr sasa