Huwa nauliza mapema na nasemaga ukweli๐Ni jokes tu chief ndio maana nikakutag๐คฃ๐คฃ๐คฃ (japo najua utasema kwani akikupa utakataa, nakataa ndio) Lamomy
Anamwamini sana mwanamke,Hahahahahaha
Mimi huwa nakuelewa sana articles zako, japo kuna watu huwa hawaoni kilicho nyuma ya machapisho yako ๐Huwa nauliza mapema na nasemaga ukweli๐
Sio mkono wako huo na hujui kusuka ukiri. ๐๐
Yanga๐
Mkuu umenielewa kupitiliza๐Anamwamini sana mwanamke,
Countrywide my advice. Trust a woman, but not completely, for she may turn out to be a viper hiding in the grass. Lamomy
๐๐Mkuu umenielewa kupitiliza๐
Mnyakyusa kwa vioja, hakuna wa kumpata, pesa anazifuja, kama vile aokota, Aagizia mapaja, jikoni yalo tokota, Anywa supu kwa mrija,soda kwake tarumbeta, apenda kujitenga kama nyama ya mshikaki. ๐๐ NdaghaTulinagwe Mwakaparachichi
Mimi huwa namuambiaga lamomy humu jf nisiwe naingia, maana nitaona kitu nitacomment mtu/watu watachukia, au nitatoa maoni watu watachukia๐Mimi huwa nakuelewa sana articles zako, japo kuna watu huwa hawaoni kilicho nyuma ya machapisho yako ๐
Kuna watu ambao wanadhani wao ni muhimu sana kwamba wanastahili kuwa eneo kwenye Google map.Mimi huwa namuambiaga lamomy humu jf nisiwe naingia, maana nitaona kitu nitacomment mtu/watu watachukia, au nitatoa maoni watu watachukia๐
Ngoja nisepe aisee
Uko kuniua ๐Anamwamini sana mwanamke,
Countrywide my advice. Trust a woman, but not completely, for she may turn out to be a viper hiding in the grass. Lamomy
Ndagha NkamuMnyakyusa kwa vioja, hakuna wa kumpata, pesa anazifuja, kama vile aokota, Aagizia mapaja, jikoni yalo tokota, Anywa supu kwa mrija,soda kwake tarumbeta, apenda kujitenga kama nyama ya mshikaki. ๐๐ Ndagha
Ikiwa unafikiri wewe ni mdogo sana kufanya mabadiliko, jaribu kulala na mbu kwenye chumba chako.Ndagha Nkamu
Maisha ni hayahaya
Futa hilo gazeti mrembo๐