Niliacha bwana, ulimi ndio meshindwa[emoji85][emoji85]
Marahabaaaa![emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Marhabaaa...sasa tunaongea lugha mojaWe najua ni mzee mwenzangu, basi tu yaani.
Shikamoo.
Sasa si nilisahau na wewe pasua kichwaSasa mbona ulikuwa unakana sijakutext?
Mwanjelwa ndo jikoni kwangu
Sawa dogo.Kumbukumbu ninazo ila basi tu huwa naamua kuwafurugha watu
Mwalimu mnafundisha kuwa msema kesho ni muongoKesho.
Duuuuh!!Hahaha...kuna mzee mmoja mtu mzima maybe kwenye 70s hivi huwa anatafuna meno yake, ukikaa naye unaweza fikiri mdudu anapekecha mbao
Mweeeh!Marhabaaa...sasa tunaongea lugha moja
Mwalimu mnafundisha kuwa msema kesho ni muongo
Lol!! Subira yavuta heri.Mwalimu mnafundisha kuwa msema kesho ni muongo
No sir. Only loved the game from courtside. In my next lifetime I'm definitely doing it tho.
Mweeeh!
Oooh! Hapo sawa. Ila usisahau tumehama nchi.Hahah...ni kwa leo tu mkwe
Ngoja ngoja huumiza matumboLol!! Subira yavuta heri.
Ana hila yule; hawezi kunisifiaHaha ujue watazamaji huwa wanausoma mchezo kuliko wachezaji, so atuambie aliona nini.
Dah!
Poa poa mkuu, maana nimekuona hapo you almost 6-2 or 6-3 hivi...
Sisi wengine standing at 6-0 huo ndio mchezo wetu hadi umri ulipotutupa mkono...
Sasa hutaki kuja au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah acha basi
Haraka haraka haina baraka.Ngoja ngoja huumiza matumbo
HahahhahaahhahahahaahaEeeh! Angalau sasa hivi umekuwa na mwili wa kiume sasa. Heaven Sent sio mtu mzuri kabisa. Big up kwa new mkwe, kwanza kakufanya uitwe baba(maana ulikuwa unatamani japo mtoto ni mkubwa kuliko muda wa kutamani[emoji85]) halafu amekupa amani unaonekana tu una furaha sasa hivi.
Ana hila yule; hawezi kunisifia