Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bila hizi hadithi za Sungura na Fisi mngenikuta Babu yenu nimeshajifia Kwa stress 🤗

Si mnajua tuna miezi 3 hatujapata pension zetu Wazee 😜

Kwanza fanya unitumie Kiko zangu nilizokuagiza, maana si Kwa arosto hili Mjukuu 🤗
Babu kiko umepata, sasa kwakuwa mi niko busy mtume yule bibi mdogo mweusi mwenye miguu minene aje akuchukulie kkoo 🤣🤣🤣🤣
 
Friday...
IMG_2463.jpg
 
Back
Top Bottom