Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,510
- 96,056
HahahahahaAah wapi
π
π Thubutu naanzaje Kwa mfano..Ww kwanza una kesi jana hujalala nyumbani.!! Mulasil kasema ulikuwa kwake unajipikilisha na kujifulisha km vile ushaolewa tyr kwann unashusha brand ya familia..?? π€£π€£π€£π€£
Rudi darasani kijana
Ongezeni picha wakuu mnaharibu uziπMnashevia mapanga alafu mnataka kujipa utoto.!!!
Shika yako π€£π€£π€£π€£
Marhaba mjukuu wanguShikamooni wakuu
Anza wewe kwanza πOngezeni picha wakuu mnaharibu uziπ
Wanashevia fyekeoπ€£π€£π€£Mnashevia mapanga alafu mnataka kujipa utoto.!!!
Shika yako π€£π€£π€£π€£
Hahahahaha kapitwq imekula kwakeUmepitwa
Tresor Mandala njoo msimulie
Sema ile ya selfika umevaa pink ilikua moto sanaAah wapi
π
ππππ koh koh kohShikamoo mdada πππ
Kuna sichuaeshen ilitokea huu uzi unaweza kutoa A to Z kwa maneno yasiyozidi 20ππ
Nimekuquote wewe maana nafahamu hii ndo sekta yako adhimuππ
π€£π€£π€£π€£ Wii niacheWanashevia fyekeoπ€£π€£π€£
Hahahahahaππππ koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcityβ¦!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know π
Maneno ishirini bado.?? ππππ
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni ππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hajui kwenda na muda πHahahahaha kapitwq imekula kwake
Hahahahahaha atajifunzaHajui kwenda na muda π
Nimeambiwa kwa ufupi π€£π€£π€£Hahahahaha
Nimemisi kukuona Aaliyyah Binti mstaarabuMarhaba mjukuu wangu
KhaaaaππSema ile ya selfika umevaa pink ilikua moto sana
Ngoja ukutwe unacheka πNimeambiwa kwa ufupi π€£π€£π€£
Una nn lknππππ koh koh koh
Inshort kulikuwa na vurugu za masuria ya Bwana Miongozo na wadada wa sate sauzand na mambo ya wajuba kuibiana wachuchu na kutoleana siri za mcityβ¦!!!
Mara ww umemchukua yule wa kwangu kwann??
Na wengine kujipa maujiko ya kuvua magagulo ya wadada kumbe ni kutaka kujibrand you know π
Maneno ishirini bado.?? ππππ
All in all tulia soon utajionea wadada wakianza kudolishiana mishape na mishimo ya mashavuni ππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hiyo ndo point ya msingi kumbe umenielewa mdogo angu?? Huyo shemejio anataka ukapauke kwa omu π€£π€£π€£π€£Kwann Shemπ€£
Kwanza omu Hana hela ,dada kasema niangalie hela
Mimi huyu au umenifananisha mkuuππNimemisi kukuona Aaliyyah Binti mstaarabu