I sasa bila bila na umeme wamechukua Tanesco washabiki wa MoroccoSaa5 mida mibaya.
Angalau saa2.
Tanesco washafanya yao ... Halafu kule sina bahati, kila timu ninayoshabikia siku hiyo inatolewa🤣
Karibu sana.hahaha eeeh nipo free
Huu Uzi unanikumbusha kitambo hicho wakati unaanza ulikuwa mzuri sana...
Nataka SA wapiteHad
I sasa bila bila na umeme wamechukua Tanesco washabiki wa Morocco
shemejiii
Kula tano🤛 soda nakurushia namba yako inayoishia ... 16Nataka SA wapite
Baadaye Congo wapite
Itakua ni huu mkaa nlonunua Nairobi!🤣🤣🤣🤣😂 mambo ya uzunguish.. Hata uwe ni ugali dagaa. Lazima utakuja kama umepikiwa Maldives
Kwa dada unasemmaje?Wizzy ndo anafosi muoe kwetu mimi kwakweli sitaki km Wizzy ndo mshenga bora husiano life 🤣🤣🤣🤣
Kwa kuwa wizzy kajipa ushenga nimekataa posa yako 🤣🤣🤣🤣Kwa dada unasemmaje?
Hapa nina mkufu wako wa dhahabu🏃♂️Kwa kuwa wizzy kajipa ushenga nimekataa posa yako 🤣🤣🤣🤣
Ndio Wizzy alivyokufundisha unidanganye na mkufu.??? 🤣🤣🤣🤣Hapa nina mkufu wako wa dhahabu🏃♂️
Haahahaa. Wee si umeshaolewa na Kantri tena kijeda jeda sanaaaa😂Ndio Wizzy alivyokufundisha unidanganye na mkufu.??? 🤣🤣🤣🤣
Mwambie mbinu nazijua haziwezi kufanya kazi, ndoa hakuna
Mmekuwa wapya baada ya Kikao na safari ya serengeti. Hii sio dalili nzuri kwani muda si mrefu mtaanza fichua ID zetu. 😀😃😄😁😆😅🤣😂Habari,
JamiiForums inawakumbusha kusoma na kuelewa vyema Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Niwatakie mjadala mwema.