National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅😅 nimependa mtembeo wake na mkono wa prodyusa.. na kali yani huwa nafurahi anavyo flowHiyo ngoma kavurunda, Bora nibaki na conboi.
😅😅😅 nimependa mtembeo wake na mkono wa prodyusa.. na kali yani huwa nafurahi anavyo flowHiyo ngoma kavurunda, Bora nibaki na conboi.
🔥🔥🔥 ngoma kali hiiLet's do this, so we go prove it
Nani teacher, Nani student
Nani kichwa, Nani mpuuzi
Nani king, Nani queen
Conboi National Anthem
Kasikilize till I die ft khaligraph ni 🔥🔥😅😅😅 nimependa mtembeo wake na mkono wa prodyusa.. na kali yani huwa nafurahi anavyo flow
khali huwa hakosei... hata country.. yupo poa sanaa.. goja niingie studio nianze sikiliza maweKasikilize till I die ft khaligraph ni 🔥🔥
👉 Country boy ft khaligraph ni 🔥🔥
Time flash fast, life goes on🔥🔥🔥 ngoma kali hii
Nishawai kukaa siku 3 mzee🤒,Kwani usipouona siku 1 utakufa?
Msosi
sister utubu dhambi za umbea😂🤣🤣Mapema kabisa siti ya mwanzo mwanzo nasubiria "Waraka" muwe na jumapili njema yenye furaha na baraka teleView attachment 2744684
Duh pole sanaNishawai kukaa siku 3 mzee🤒,
Mzee as a man, you should be ready to face and pass through any struggle.Duh pole sana
Ndo iwe 3 days?Mzee as a man, you should be ready to face and pass through any struggle.
Katika dhambi ambayo najua hata nikitubu nitairudia muda huo huo ni hii, yaani bora nichelewe kula kaka sio kuukosa.sister utubu dhambi za umbea[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Mkuu uta hisi natania, ila only GOD knows.Ndo iwe 3 days?
Aisee😂😂😂, msalimie railat🙃🤗Katika dhambi ambayo najua hata nikitubu nitairudia muda huo huo ni hii, yaani bora nichelewe kula kaka sio kuukosa.
Yes ana ban ya muda mrefuJmn kwani Cute Wife kala ban?
Ndo maana nashangaa Kila nikimuita haji
Nn Tena jmn!
No naweka pozi inbox cantryyyy[emoji1787][emoji1787]
Mmh acha roho mbayaUnafiki na majungu vilizidi🤒
Ya mud mrefu? Muda gani?Yes ana ban ya muda mrefu
Miezi mitatuYa mud mrefu? Muda gani?
Sasa SI kaniuliza chanzo Cha selfika kufungwa???Mmh acha roho mbaya
Ndo untangaza amani wewe?
Hivi mods wanaangalia vigezo gani kutoa " muda" wa hiyo adhabu ya bam?? Miezi mitatu mbona ni too much jamaniMiezi mitatu
Zinafika na makopa mengi mengi sanaAisee[emoji23][emoji23][emoji23], msalimie railat[emoji854][emoji847]