Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe kule selfika ya zamani kulikua na timu?? Ila binadamu mna mahangaiko..yani timu na mtu msiejuana hata unyayo...
Waka ishia kupigana vijembe na kudhalilishana, Uzi uka liwa kichwa😁.
👉Wajumbe tukakosa kamati😁, hivyo tume anzisha bunge jipya la amani😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…