Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,674
- 39,090
Basi ngoja niondoke🏃🏿♀️🏃🏿♀️Shida mna uswahili😁😁, huwezi kukaa kwa amani ka wenzio🤒
Basi ngoja niondoke🏃🏿♀️🏃🏿♀️Shida mna uswahili😁😁, huwezi kukaa kwa amani ka wenzio🤒
Unadhani me ni Steve Wonder nione kwa fimbo na kupapasa au ?Kwema mkuu,Angalia tena😄
Best tulia 🤗, weee nae😁Basi ngoja niondoke🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Lakini Steven wonder ni tajiri😁Unadhani me ni Steve Wonder nione kwa fimbo na kupapasa au ?
Dah 😃, Hiyo Picha sipendi🤒Kwema mkuu,Angalia tena😄
Utajiri una sphere zake lakini.Lakini Steven wonder ni tajiri😁
Doooooh 🔥🔥🔥🔥🔥
Nakazia😁🤒Kwendaa
Ebhanaeeee 🔥🔥🔥🔥🔥 kiuno kama nyigu 🔥🔥🔥🔥😋Selfika
Najua Hilo🤒Utajiri una sphere zake lakini.
Aisee Saint Anne ana balaa😜🤒Ebhanaeeee 🔥🔥🔥🔥🔥 kiuno kama nyigu 🔥🔥🔥🔥😋
Nasubiri matajiri wa Makombora waje. Nainjoigi Sana mnavo-uana😂Najua Hilo🤒
Ana balaa si kitoto yeye mwenyewe anajua 😄Aisee Saint Anne ana balaa😜🤒
Acha njaa.jaza jaza madem kwanza afu ndo uniite
Naandaa deadly hypersonic weapon 😁😂🤒Nasubiri matajiri wa Makombora waje. Nainjoigi Sana mnavo-uana😂
wewe hupendi sketi mkuu?Acha njaa.
Sio kwa zile kombora, humu ndani nyoko.Naandaa deadly hypersonic weapon 😁😂🤒