Kumbe bado ni mbegu hata hujawa yai[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera madame kumbe una PhD
Usijali, utakua tu.Piga magoti uniombe msamaha mimi nasema
Hivi umesahau siku ile unatoka Mbeya ulisema unatoka wapi? Na mkawa mnaongelea mambo ya graduation. Haitoshi kuna siku mkawa mnaongelea mambo ya umri. Nikabaki hiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hivi umesahau siku ile unatoka Mbeya ulisema unatoka wapi? Na mkawa mnaongelea mambo ya graduation. Haitoshi kuna siku mkawa mnaongelea mambo ya umri. Nikabaki hiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Huna adabu, unataka kushindana na mama yako[emoji134][emoji134][emoji134]
Wa4 wa kuzaa jumlisha 500 ninaowalea.
Watu mnang'ang'aniana uzee utadhani kuwa mzee dili...mxiiuu
Hongera madame kumbe una PhD
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya ubishi labda.
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.[emoji41][emoji41]looh hivi mimi ndiye nilisema hivyo??
Yani niliona siku hiyo; nikajigunia tu mmmh
Afadhali nawe uliona[emoji23][emoji23][emoji23]Yani niliona siku hiyo; nikajigunia tu mmmh
Watoto 500 unawalelea? Kivipi? Una kituo cha watoto yatimaWa4 wa kuzaa jumlisha 500 ninaowalea.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umeamua kunipakazia sioMtcheeeew na robo. Naona yale maringo ya kutojibu messages yamehamia kwako
Dogo hujambo?Watu mnang'ang'aniana uzee utadhani kuwa mzee dili...mxiiuu
Unapuliza jani lipi mama?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hatushindani; tunaweka facts
Nashangaa hajanialika kwenye graduationAfadhali nawe uliona[emoji23][emoji23][emoji23]
MarhabaDogo hujambo?