😁😁😁Bamia ya mchongo haipo kwenye kitabu cha makungwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya asali hii ndo moto!! Si umeona anavyong’ang’aniwa na Miongozo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kapiga nyapu zote lkn bado anaiwaza ya Antonia tyuuu!!!
Umeanza kuvuta mi shisha eh🙄🤔Mmh huu undugu nina wasiwasi nao
Wewe upo vizuri hujaamua tu[emoji23]Countrywide nipeleke kwa Ras Simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakutania usipaniki 😁Umeanza kuvuta mi shisha eh🙄🤔
Unaweza kusamehe kwenye mazingira yoyote?
Sija oa Mimi, na sitarajii kuoa kwa sasa.🤒Msibani ulienda ukweni kwa mkeo [emoji3][emoji3][emoji3]
Nishasamehee muda sana!Mbona bado hujasamehe?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani nili kasirika hata😁Nakutania usipaniki 😁
Kungwi mishisha labda😁🤔🙄Makungwi wa kweli wanapatikana Pwani tyuuu!! Hao wengine wa michongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni ya nani?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna kusamehe wambea tutakosa cha kujadili!! Udugu Antonnia kabla ya kusamehe nitumie pic za aliyebong’oka kwanza!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Kantri unajua kuna pic ya mtu kavaa bikini [emoji160] afu kubong’oka??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe upo vizuri hujaamua tu[emoji23]
Ndio😬Kwani nili kasirika hata😁
Bado.Nishasamehee muda sana!
Sija oa Mimi, na sitarajii kuoa kwa sasa.[emoji855]
Nije kulala huko leo? Maana huku kwetu kuna baridi sana. Ntakubebea ka wine.Siwezi kushare mie , napenda me time .
Siee wanawake tuna maneno sana .
Wewe tena si ulikuwa na jambo lako humu limeisha 😁😁😁[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna kusamehe wambea tutakosa cha kujadili!! Udugu Antonnia kabla ya kusamehe nitumie pic za aliyebong’oka kwanza!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi Kantri unajua kuna pic ya mtu kavaa bikini [emoji160] afu kubong’oka??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya maths tafuta thamani ya "y", hadi leo y hujampataNilikula school fees mwenzio afu class me ni wale tunakaa back benchers kazi yetu kusogoa umbea na kumjadili ticha wa history anamsema zinja wakati yeye mwenyewe ni zinja aliyechangamka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kungwi mishisha labda[emoji16][emoji848][emoji849]
Mie nimemaliza mkuu!Bado.