๐คญwee, sema kweli? Nenda nasi taratibu....usiwe mkali....usikwazane na mtu.... wanawake tunatunza sana maneno moyoni....ni ngumu kumkubalia mtu ambaye kashawahi ninenea mabaya .......Afu punguza au acha kuingia selfika .....ingia hata habari mchanganyiko kule..... mwanaume hupaswi kujibishana na mwanamke hadharani.....nimeshtuka kidogo ila nikahisi huenda umeshindwa vumilia....usiingie huku selfika
National Anthem ....plzzz