Selfika na JF: Snap it. Show it

Shikamoo aunt
Ebu selfika umemisika
Kuselfika nimestaafu Kwa muda aunt wachaw wengi sana πŸ˜€
Nilikumiss tu nikaona unapiga like tu huongei Wala hucheki kimya kimyaπŸ˜€
 
Day nime shangaa, ika bidi nimu ulize😁, nini shida😁
huyo dada hanaga akili tahira, mtu ambae hana staa au kujiheshima hana tofauti na mwehu .. omba omba akiona ID ya mwanaume anazama ndani na kuanza jiombelezesha vocha mala hela kama sio mwehu huyo ni nini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. acha sie tusake na hela na kula five star pisi si haya mataka taka ya humu
 
Nyie si ndio utume, yani mi mwanaume nitume shepu tena [emoji848]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] me sina mshepu nina kijishepu!!! Ila nataka unionyeshe lile ulilosema lipo humu na me nataka nione uumbaji wa Mungu [emoji2222][emoji2222][emoji2222]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…