Selfika na JF: Snap it. Show it

wachaa nichekeee, kidampaaa umekujaaa tenaaa, mwenzako soko ninalooo sio humu tyuuh had uraianiiiii.

Umedoda weyeee unaetesekaa na mie, Una pisi ya kudate nayo weyeee, wee mwenyewe pisi uliyokosa hata wa kukupigia mluziiiii.

Mjombaaa maresh umebakiii na kusema "ptuuuuu"
Huwa si deal na vidampaa wasio jikubaliii, afu watu wazimaaaa, nataka kuchachuanaa na vigorii wenzanguuu.

weraaaaaaaa weraaaa.
 
Kwa kweli wale Wajukuu walipanga wanikomeshe Babu yao

Maana kuna mmoja nilimsikia anasema eti Ujana wake ale na nani Uzee wake ale na sisi wacha tumkomeshe.

Wale watu hawana huruma kabisa kwa Wazee

Ni fisi maji hizo babu muulize Mpwayungu akupe habari zao!!! Wanakunywa pombe km wamefunga mota dadeq


Wanaagiza bucket bucket sio beer moja wanalamba lamba mpk wanajing’ata


Siku nyingine wakimbie kabla bill haijaja waeke bond mawig yao
 
nimecheka km chizii, siku hizi wigi ni assets, mbna sina taarifa.??
 
nimecheka km chizii, siku hizi wigi ni assets, mbna sina taarifa.??

Mawig assets we ulikua hujui?? Ss hivi huoshi vyombo ni unaweka wig na mkoba bond, ukipata pesa unapeleka unabeba mizigo yako


Kazi ipo km umenyoa kaoge style hapo hatuna cha kukusaidia ni ku pambana na hali yako!!!
 
uduguuu sikuweziii, hadi Kaoge amehusikaaa hapaaa, woiiiiiih.

Mbna unatishaa watu sasa,
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…