Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss lafy hebu muone huyu shouzzy wako anachosema hapa🀣🀣
Eti kuna mambo mimj na wewe tunafanyaga mafichoni kweli?πŸƒπŸƒ
Weee namie since when who which washendweeee kwajena la yesoooo!!
 
Mbona Mjomba maresh
!
Mwenyewe anajiona kijana wakati mtu mzima kisheti!! Kwanza hata akikaa na granpa ye anaonekana kizeee zaidi au ndio kudumaa kwenyewe anakosemea Cute Wife khakhakhaaaa!!
wajomba maresh hawataki kuzeeka mjini, kutwa kutaka heka heka na kina kigoriii coca,

Stress plus maumivu ya kukosa sokoo bas ni tafrani tupuuu, wamekutana na tiba yao, nawapa wanacho stahili sio wanachotakaa.

 
Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy Waletreeeeeeeeeeeee πŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•ΊπŸ•Ί!!
 
Hebu muambie Mr vouchaaa, anipe maokoto ya mwisho wa mwezi, maana anataka kunikaushaa kifua huyuu.
, ntakubless baadae.

Na mjep wako msinidindie jamanii sijawaona kitrambo sanaaa do the needful mnibless pulllllllliiiiiiiiizzzzz!
Mjep bado nasubiria hapaa ujuee
 
nyokoooo wee, shouzzz angu umpatee wapiii? Mbna unakua muogaaa??

Si utulizaneeee?? Hebu jiaminiiii,
Hebu Mstiri mumeo shougaaangu hujafundwa weye??? 😊😊😊
Mxxxieeeeeeeeww !! πŸ˜„πŸ˜„!!

Fanyeni mnibless kwanii nataka nifue madasoo miee πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…