Hili dude noma sana Mshana. Sasa kuna siku niko Mbalali shambani kuna jamaa mmoja nilikutana naye alikuwa na Landcruiser mkonge lina Engine V8 can you imagine that mzee ???? Huo mlio siyo wa dunia hii