Selfika na JF: Snap it. Show it

wee huogopiii? Ananiachaga hoi mikwara koko yakee, naishiaga kuchekaa tyuuh.

Mikwara mbuzi

Lipo km zombiii afu sijui hajishtukii km age imevuka kwenye kuvuta oxygen ya ujana
Ss hivi anatakiwa apewe kipindi bonyokwa primary asimulie watoto jinsi walivyopigana na mkoloni
 
Waje niwape kipako wang’ae mpk kwa bibi sio unakua na rangi 2 km tetracycline


Kitambi km jeneza la mtoto unaenda km unarudi, miguu imepinda km beki wa kagera
Uduguuu

Mbavu zangu miee woiiiii,
Rangi ya mtume inakupa jeuri? Utamwagiwa oil chafu
 
Rangi huitaji kuinadi yenyewe inajiuza

Afu hutumii mwanga kuniona hata nikijificha

Kazi ipo kwa black mamba akicheka meno yaonekana
nimekumbuka kuna mate alikua ananifatilia, bas anasema "wee hiyo rangi sihitaji torch, ni kugusa tyuuh penyewee"

Watu na rangi zetu mjini, afu soko tunaloo.
 
nimekumbuka kuna mate alikua ananifatilia, bas anasema "wee hiyo rangi sihitaji torch, ni kugusa tyuuh penyewee"

Watu na rangi zetu mjini, afu soko tunaloo.

Soko letu halijawahi kuyumba sisi km dollar tunayumbisha shillings (black mamba) tunavyotaka yani!!! Muda gani ishuke ni sisi tunaamua

Emu tujipigie makofi tafwazaliiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…