Selfika na JF: Snap it. Show it

Na umefundisha rajani secondary na mumbu Islamic.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… umenikumbusha mbali .. siku hiyo nipo ofisini kwa mkuu wa shule enzi hizo Kinondoni Muslim.. tumeongea badae nikapewa pindi la Physics, mie akili yangu ilikuwa inawaza mbali tu.. huku nachapa pindi.. uhuni huuu.. tungefungwaa wengine aisee.. vitoto vya Zanaki kule kimoja sasa hivi kimekuwa ki mwanasheria maarufu.. Umenikumbusha mapambano ya maisha
 
Acha ni ringe kwanza
Nina shem wa uhakika
Hapa nasubiri mzigo wa vocha na sikugawii[emoji28][emoji28]
Si mwenyewe uliyaona yale maokoto ya jana[emoji12]
Mungu anipe nini tena?

Shem pic za google zile sio za maokoto yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtaji wa vijora wenyewe laki ndo ntapata mzigo km ule??
 
hahaha tumuache tusije pewa lawama! Nilitaka mpa ofa aende kwa Martha akabadilishe oil.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Juzi alinitumia link ya VVIP.. ya grouo lao la telegram.. ( wateja waaminifu ).. nikachungulia nika left nikaona huu msala.. wengine ma simu ukiwa home unatoa password.. inakuwa simu ya mke na mume.. Ila ana wadada ukiwa mzembe mzembe unatoa laki tano alafu badae ukimaliza kupewa vitu, ndio utapambana na hali yako
 
Kheeeeh mama sinyarii, tafadhari hivyo vipodozi ndo ulotaka umpe mke wa waziri mkuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Eee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naye akawe pambe mama PM awe ng’aring’ari
 
Shida una hisi wote tuna tumia fiber ya hapo kwakoπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ€”
πŸ‘‰Mb ni ghari aise😁
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… siku hizi mie mwenyewe nanyoosha mikono.. siku kama nne.. nilikuwa natumia 5G.. dah! bubdle kama mtu ana mwaga maji aisee.. niliomba poo mwenyewe
 
12k hahaha nimo mule kitambo Sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mabomu sio mazuri afu ndo watu wanataka vita wee Thubutuuuuu!!

Sio Somalia hapa bomu linapigwa kwa jirani yako, wewe ndo kwanza unakata tonge la ugali km hakuna kitu kimetokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata hawajariii. Na habari hawana.
 

Uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
12k hahaha nimo mule kitambo Sana.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Mungu atuokoe tu.. huwa niki kumbuka fantasy zake najikuta moyo unataka tena na tenaa.. kuna ka moja kama somalia kalipiga body to body moja matata alafu akaniweka kwenye 18... ya amount flani ya hela nikaona hapa napigwaa.live ,🀣🀣🀣🀣 tulijikuta asubuhi hii pamekuchaaa .. Sema hihi karibuni nakuachia viatu vyako.. vikubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…