Selfika na JF: Snap it. Show it

Haswaaaa!! Shem akitangaza ajira unishtue nimpeleke babu akawafanyie interview huenda anaweza kupata chochote kitu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemu wako ajira aitoe wapii? Yeye mwenyewe aombee kwa kuwa alisoma mambele ndo akapata fevaa, vinginevyo angekua ananilagjai "kuna mchongo nausikilizia".

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie muongo switihatiiii?? Mjep
 
Michezo yako uliyoianzaga toka ukiwa form two bado hujaacha tu?

Oya National Anthem kamzululishe kidogo kijana
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… naweza muharibu nikapewa lawama na wanao mtegemea.. msimu wa bata la 24hour unaelekea kuwa activated.. umuonavyo anaweza toboa huyuu.. au tumpe interview ya house party ya dhambi
 
Asante shem[emoji8]
Ila nasubiri zawadi yangu ya vocha ujue[emoji12]
Au coca kakurubuni na maneno ukampa??

Nimesubiri unitajie ya mtandao gani mpk nimechoka!!! Si unajua mwenyewe niko kudanga mbalali wanakovuna mipunga huku so dukani nimemuacha kijana yeye ndo nampa maelekezo ya kutuma!! Kesho mapema vocha ya buku 10 sema mtandao kabisa
 
πŸ€”πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu niwachee ebooh!!
Hapa sina mbavuu.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mabomu sio mazuri afu ndo watu wanataka vita wee Thubutuuuuu!!

Sio Somalia hapa bomu linapigwa kwa jirani yako, wewe ndo kwanza unakata tonge la ugali km hakuna kitu kimetokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…