Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado next month watu waaanza kukodishq mashamba na kuandaa mwez wa11 mara nyng Huwa zinaanza mvua
Huu ndo ushirikina nilio mwambia Grahams au ache.
๐Ÿ‘‰Tubadilike ndugu, you cannot depend on a thing which you are not directly involved in it's process.
๐Ÿ‘‰Una shingapi?? (Mtaji) Ili nikupe ushauri vizuri๐Ÿค’
 
Ukiona gari Lina nembo Hiyo ya Kama 00 lipigie salute๐Ÿ˜.
๐Ÿ‘‰Ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ National Anthem
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… maduara duara .. ni hatari.. nilikuwa na moja rangi kama hiyoo.. Dar - Dom ilikuwa masaa 4 na foleni lake.. Alafu ni cheap sana kuzihudumia.. kuliko wajerumani wengine.. wajerumani wengine wanakutoa kamasi kwenye matengezo..mzungu anataka uhisi unaendesha ndege
Your browser is not able to display this video.


Mjep
 
Huu ndo ushirikina nilio mwambia Grahams au ache.
๐Ÿ‘‰Tubadilike ndugu, you cannot depend on a thing which you are not directly involved in it's process.
๐Ÿ‘‰Una shingapi?? (Mtaji) Ili nikupe ushauri vizuri๐Ÿค’
Niliko mambo sio magumu kwenye kilimo
Shamba ekar had laki hats elf 80 unapata
Trekta kulim ekar 1 ni elf 40,sheli ni elf 20
Vibarua kulimia ekari 25 au unaalika watu wanalima
Mtaji sio shida sana
 
Maduara inachanganya haraka alaf iwe sedan moto wake na starehe yake mzee ni dunia nyingine kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasikia eti Wewe ndo ulikua ni mkubwa, ukaachika ss hivi wapoโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆโ€ฆ.!!! Km wote hiyo list inayofata mpk kufikia kwa coca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weka list hapa.
 
Huo mkeka mpk na majina ya guest bubu yalikofanyika matukio yapo!! Huyo mjinga aliye publish huo mkeka kajivutia kwake eti katoka na mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo PDF imechorwa na mwanaume? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mabwakuuuuu.
 
Ya vijora [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ninacho cha Zara, Louis Vuitton, Gucci, Dior, Fend ila zote zinatoka kwa ndugu zake Jet li [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maduara inachanganya haraka alaf iwe sedan moto wake na starehe yake mzee ni dunia nyingine kabisa
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mzungu habahatishi.. gari zake nyingi speed ni fumba na kufumbua.. maduara kwenye kukamata chini ndio ana baraaa zito kama inagundi kati yake na barabara.. tusake hela tu haina namna tusiishie kwenye mikweche kama kijana mwizi Intelligent businessman
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wa vijijini tunaenjoy leo. Km namuona coca anavyosonya simu haina chaji na anatamani kuja selfika
Uduguuuu yaan achaa kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanesco sijui wananitafutia nn mie, khaaah
 
Niliko mambo sio magumu kwenye kilimo
Shamba ekar had laki hats elf 80 unapata
Trekta kulim ekar 1 ni elf 40,sheli ni elf 20
Vibarua kulimia ekari 25 au unaalika watu wanalima
Mtaji sio shida sana
Una ogopa mi na mwizi mwenzagu National Anthem tuta kuja kukuibia๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Sera zetu ๐Ÿ‘‰ panga mkononi
๐Ÿ‘‰Roho begani๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ