Hela za kuhonga natoa wapi Babu yenu, na hivi naishi kwa Kulima na Pension za kustaafu tu [emoji2957]
Kwanza hizo nguvu za kukimbizana na Wajukuu nazitoa wapi kwa umri huu [emoji2957]
Hahaha..........achana na habari za kuhadithiwa, yaani na Uzee huu hadi kuvuka barabara nasaidiwa ndiyo niweze mambo hayo kweli 😅Ila babu unatuchora humu km sio wewe vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28]
Hahaha..........achana na habari za kuhadithiwa, yaani na Uzee huu hadi kuvuka barabara nasaidiwa ndiyo niweze mambo hayo kweli [emoji28]
Tuoneeni huruma Wazee jamani [emoji2957]
Marahaba jirani...uko poa?Sijambo jirani, shikamoo
Jirani hujamboBado hata sielewi[emoji1787]
🤣🤣Wape direction si unapajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti tunamtafuta mdada anauza vijora anaitwa cute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waambie kwa hilo jina hawatanipata, walibadilishe cute kwa kikinga ndo watanipata chap
Huyo atakuwa sio Mimi, kwenye hiyo Pdf ikitoka mtafanya nimualike Bibi yenu aje atoe ushahidi hapa..........Sisi wazee hatuna uwezo wa kupanda milima 🤪🏃🏃Thubutuuuuu!!! Babu umepatikana kwenye pdf no 3 unakula vifaranga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
👏👏👏Jipigie makofi na ulinde afya yako [emoji23][emoji23][emoji23]
Tunza uzee wako
Ushindwe unanitisha
Umeanza lini kuogopa.. wakati unaona maajabu makubwa zaidiUshindwe unanitisha
Waulizie kyutero🤣🤣🤣🤣🤣Wape direction si unapajua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti tunamtafuta mdada anauza vijora anaitwa cute [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waambie kwa hilo jina hawatanipata, walibadilishe cute kwa kikinga ndo watanipata chap
Sema kweli shem?😆😆😆[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nasikia eti Wewe ndo ulikua ni mkubwa, ukaachika ss hivi wapo…………….!!! Km wote hiyo list inayofata mpk kufikia kwa coca
Hiyo Pdf kibokoMke mwenza wewe hujatajwa ila kuna file lingine ninalo linasema wewe ulikuwa na boss wa voucher nikashangaa!!!
Kwa yule mume wetu nimetajwa si unajua bi mdogo kwenye issue km zile kukosekana ngumu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]
Huyo atakuwa sio Mimi, kwenye hiyo Pdf ikitoka mtafanya nimualike Bibi yenu aje atoe ushahidi hapa..........Sisi wazee hatuna uwezo wa kupanda milima [emoji2957][emoji125][emoji125]
Waulizie kyutero[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema kweli shem?[emoji38][emoji38][emoji38]