Selfika na JF: Snap it. Show it

Mke mwenza wewe hujatajwa ila kuna file lingine ninalo linasema wewe ulikuwa na boss wa voucher nikashangaa!!!

Kwa yule mume wetu nimetajwa si unajua bi mdogo kwenye issue km zile kukosekana ngumu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Boss wa vocha nilikua wapi nae mwenza?[emoji28]

Hebu nipe picha kamili
 
Mie Nyani mzee sitishiwi nyau uduguuu
Babu ana misulii hiiiiioooo matraaatraaaaa sanaa😊!! Wee Granpah Grahams hebu mbles Cute wife mselfiiii wa mikono yako kwanzaaa😊😊!
kwa sauti ya Aaliyyah !!
πŸ€—πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Inatosha aunt πŸ˜€πŸ˜€
Kapumzike Sasa iyo mori ndo hatuitaki πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…